Kesho viongozi wa simba wanakwenda kuitambua rangi halisi ya mashabiki wa Simba

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
2,244
Reaction score
5,500
Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final.

Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau sioni dalili za simba kufunzu.

Ziandaliwe propaganda mapema kwaajili ya demage control japokuwa hazitasaidia saaaana.
Kwenu studio.

5C597DA1-2E66-4662-A792-16EC5C47B9ED.jpeg
 
Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final.

Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau sioni dalili za simba kufunzu.

Ziandaliwe propaganda mapema kwaajili ya demage control japokuwa hazitasaidia saaaana.
Kwenu studio.

View attachment 2240715
😂😂😂 KoloWizard zitapoteana boni kubwa litalipuka kama sisi ingetokea tungefungwa ile mechi ya ngao ya jamii
 
Back
Top Bottom