Kesho wakileta fulana na kofia yanasahau kila unyama waliofanyiwa

Bomoa bomoa

Kaza buti yatie adabu maana hayafundishiki kuwa ccm ni mashetani
Wananchi wanafiki sana, zoezi kubwa la namna hiyo haiwezi kufanywa na serikali harafu watu wakifanya kwamba hawajui chochote limeshtukizwa Tu.

Wakaidi hao hawataki kufata utaratibu.

Mama endelea ana kazi Watanzania Sisi Tuko Nyuma yako.

Mungu mnabariki Dr Samia, Mungu Ibariki Tanzania
 
Wananchi wanafiki sana, zoezi kubwa la namna hiyo haiwezi kufanywa na serikali harafu watu wakifanya kwamba hawajui chochote limeshtukizwa Tu.

Wakaidi hao hawataki kufata utaratibu.

Mama endelea ana kazi Watanzania Sisi Tuko Nyuma yako.

Mungu mnafiki Dr Samia, Mungu Ibariki Tanzania
Umeamdika?
 
MUNGU mnafiki tena?
 
Bomoa bomoa

Kaza buti yatie adabu maana hayafundishiki kuwa ccm ni mashetani
Wacha wabomolewe tu ili akili ziwasogee.tukiwaambia ccm si baba yenu wao ni vihere here tu .wakati wa uchaguzi wako busy na khanga za ccm leo yako wapi na bado.
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Wacha wabomolewe tu ili akili ziwasogee.tukiwaambia ccm si baba yenu wao ni vihere here tu .wakati wa uchaguzi wako busy na khanga za ccm leo yako wapi na bado.
Ngoja yabomolewe tu. Yakipewa Tshirt na elfu 10 yanaona hayo si ndo maisha CCM safi. Natamani CCM wayauze matanzania yote maana ni majinga kupindukia na ni manafiki sana
 
Back
Top Bottom