Kesho Yanga hapiti mlango wa nyuma

Kesho Yanga hapiti mlango wa nyuma

Timu kubwa Ina tambuliwa kwa Mataji inayo beba na si propaganda.

Yanga ni Timu kubwa kwa Tanzania kwakua Ina Makombe 30 ya Ligi kuu na Msimu huu wa CAF Champion league inakwenda kuandikisha kombe la kwanza Africa na Makombe mengine ya Africa yatakuja.
Kwa timu hii ambayo tunafunga goli moja moja za ndondokela ambayo forward wake ni mpuuzi aliesajiliwa kwa mihemko aitwaye dube na mwenzie chama?
 
Back
Top Bottom