DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ngolo kantenamba tano sio kiungo mkuu ni beki🤣🤣
mweka mada anazungumzia rede sio mpira!namba tano sio kiungo mkuu ni beki🤣🤣
JF ni Where We Dare To Talk Openly. Sasa kama wewe unakuja na code zako za kitoto zisizoeleweka hustahili kuwa humu, tupishe. La sivyo sema ueleweke, eboo.Kesho tarehe 16 yule kiongozi wa Maratusi anaweza kuwa ameachiwa.
Kinachofanyika hapa ni kumuhai Mtu mmoja kabla hajavuruga hali ya hewa kiungo muhimu wa kikosi namba tano.
6th sense
najuamweka mada anazungumzia rede sio mpira!
Codes kaliKesho tarehe 16 yule kiongozi wa Maratusi anaweza kuwa ameachiwa.
Kinachofanyika hapa ni kumuhai Mtu mmoja kabla hajavuruga hali ya hewa kiungo muhimu wa kikosi namba tano.
6th sense
Kama hii code n ngumu, bc Ww n kiaziCode ngumu hii,,
Sawa nawapishaJF ni Where We Dare To Talk Openly. Sasa kama wewe unakuja na code zako za kitoto zisizoeleweka hustahili kuwa humu, tupishe. La sivyo sema ueleweke, eboo.
TALKama hii code n ngumu, bc Ww n kiazi
tena mbatataKama hii code n ngumu, bc Ww n kiazi
Hadi Mimi kiziwi nimesikia kinachoongelewa ila ye analeta ugumu 😂😂😂Kama hii code n ngumu, bc Ww n kiazi
Si hapo sasa,,Wataje kwa Majina kama kweli unafanya Hiphop.....🎶
Shida wewe unazungumziaa mpira wa kitatapeli wakati huo huo mwenzio anazungumzia siasa za kitapeli.namba tano sio kiungo mkuu ni beki🤣🤣
Nani kakwambia nazungumzia mpira?Shida wewe unazungumziaa mpira wa kitatapeli wakati huo huo mwenzio anazungumzia siasa za kitapeli.