Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Viungo na siii hasa imekaaje,labda uwe unazungumzia kiungo au viungo pundaa!Nani kakwambia nazungumzia mpira?
Viungo na siii hasa imekaaje,labda uwe unazungumzia kiungo au viungo pundaa!Nani kakwambia nazungumzia mpira?
hahaha 😂Viungo na siii hasa imekaaje,labda uwe unazungumzia kiungo au viungo pundaa!
Moise CoicedeNgolo kante
bc Ww n.....?Kama hii code n ngumu, bc Ww n kiazi
JF ni Where We Dare To Talk Openly. Sasa kama wewe unakuja na code zako za kitoto zisizoeleweka hustahili kuwa humu, tupishe. La sivyo sema ueleweke, eboo.
Nilikishauri uachane na mbanduleKesho tarehe 16 yule kiongozi wa Maratusi anaweza kuwa ameachiwa.
Kinachofanyika hapa ni kumuhai Mtu mmoja kabla hajavuruga hali ya hewa kiungo muhimu wa kikosi namba tano.
6th sense
Upo sahihi mkuubc Ww n.....?
Huyo amebaki kuwa mpiga ramli
Andika ueleweke mkuu, Kuna hiki kitabia cha kupiga ramli Kwa maneno yasiyoeleweka kinakua sana humu jamvini.Kesho tarehe 16 yule kiongozi wa Maratusi anaweza kuwa ameachiwa.
Kinachofanyika hapa ni kumuhai Mtu mmoja kabla hajavuruga hali ya hewa kiungo muhimu wa kikosi namba tano.
6th sense
Sidhani kama wanaweza kumuachia mama hulka yake hataki kuonekana kashindwa, akiwaza kikao cha Eu leo nadhani kichwa kinamuwasha huko alipo 🤣Kesho Lissu anaachiwa kupunguza uzito wa hoja za Polepole kabla hajafanya press yake na wana habari.