MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Nov 14, 2011 #1 Eti ajira za walimu zatoka keshoooo au mawenge yangu! NAWAKILISHA
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Nov 14, 2011 Thread starter #2 Jamani ma employment basi ya utcher? Lini!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Nov 14, 2011 #4 Mwaka kesho mwez ka huu.
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 458 Nov 14, 2011 #5 Kuna madogo flani waliniomba niwachekie kwenye net tar 15 nov ambayo ndiyo hiyo kesho,so yaweza kuwa kweli.
Kuna madogo flani waliniomba niwachekie kwenye net tar 15 nov ambayo ndiyo hiyo kesho,so yaweza kuwa kweli.