Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai waliomba taarifa za mteja bila kutaja ni kwa mujibu wa sheria gani

Tuwaulize kina FaizaFoxy na Malaria 2
 
Jamhuri bana,badala wa deal na uwizi uliyoletwa mzalendo wao
Wanangangania waiting nguvuni
Asaidie upepelezi 😄
Mtu kaamua kumwaga mboga kazi kwao kuifanyia kazi

Ova
 
Kiufupi huyu mama ni mmoja wa wale watu ambao wapo juu ya sheria. Atakuwa ameshatumia kwenye misheni nyingi nyeusi kwa hio hawawezi kumtupa chini ya gati hata kama mkipiga makelelekiasdi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…