mbona mnawasumbua jamani. Kumbukumbu zangu hazina matatizo MKUU WETU WA NCHI ALISEMA ANAYO ORODHA YA WAUZA UNGA WAKUBWA HAPA BONGO, mimi niliamini kuwa atawashughulikia hata ikibidi bila ushahidi. Remember He is the Head of the State, kwa hiyo anaweza deal na watru kimya kimya na hali ikawa shwari. Mpaka sasa hali ndiyo hiyo tunayoiona, vijana wanakufa,wanafungwa, wengine wanyongwa na wengine wako mahabusu, hapa nio mbali na wale wanaoathiriwa na hii kitu
Siku, JK atakapoamua kupambana nao kwa dhati ila sijui ni lini, utakuwa ndiyo mwisho wao. Mbona Italy wamewaza kuwakabili Mafia and they (Mafia) are almost dead in Italy kwanini sisi tushindwe au kwa sababu PM alisema wakikamatwa nchi itayumba?