Kesi Hii ilishia Wapi.??!!

Kesi Hii ilishia Wapi.??!!

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
289
Reaction score
192
Niliwahi kusikia hii kesi, But sijawahi kusikia kama huyu Binti wa Liyumba alifungwa au hata Liyumba.
JE, ilizimwa , inaendelea, iliishaje, Mahakama ipi ilihusika, watuhumiwa Wengine ?? nk.
MADAWA yalikuwa na Thamani Billions 3++.
Tuambiane.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1373707864524.jpg
    uploadfromtaptalk1373707864524.jpg
    72.4 KB · Views: 287
nani amekwambia wenye pesa wanafungwa,mtandao ni mkubwa na haukamatiki,wakishikwa uchumi wa nchi utayumba
 
Hujasikiasikia kwamba walioko jela za Tanzania asilimia kubwa ni masikini?? Ndio anza kuamini tangu sasa
 
kesi hizi zipo kama movie za kiindi mwisho wa siku adui anauwawa kwenye maua. huu mtandao ndugu yangu ni mkubwa sana hapa duniani na ndio maana unaweza anzisha uzi hapa wa kuwataja wauzaji, usifanikiwe. Sheria ipo china amna cha kesi kwenda mahakami wala wapi, kitanzi tu.
Mimi naamini na nasema Agnes Gerald (Masogange) lazima mwakani tuwe naye uraiani. kama kuna mtu anabisha tupinge
 
Mtandao ni mkubwa sana, Wanakamatana Wanaachiana. WAKIMATANA ujue HAWAJALIPANA. period
 
kesi hizi zipo kama movie za kiindi mwisho wa siku adui anauwawa kwenye maua. huu mtandao ndugu yangu ni mkubwa sana hapa duniani na ndio maana unaweza anzisha uzi hapa wa kuwataja wauzaji, usifanikiwe. Sheria ipo china amna cha kesi kwenda mahakami wala wapi, kitanzi tu.
Mimi naamini na nasema Agnes Gerald (Masogange) lazima mwakani tuwe naye uraiani. kama kuna mtu anabisha tupinge

Unachokisema hapa ni ukweli 10%
 
agnes mwaka huu tutakuwa naye ujasikia wazee wa piga tu.wameenda kumfata.
 
mbona mnawasumbua jamani. Kumbukumbu zangu hazina matatizo MKUU WETU WA NCHI ALISEMA ANAYO ORODHA YA WAUZA UNGA WAKUBWA HAPA BONGO, mimi niliamini kuwa atawashughulikia hata ikibidi bila ushahidi. Remember He is the Head of the State, kwa hiyo anaweza deal na watru kimya kimya na hali ikawa shwari. Mpaka sasa hali ndiyo hiyo tunayoiona, vijana wanakufa,wanafungwa, wengine wanyongwa na wengine wako mahabusu, hapa nio mbali na wale wanaoathiriwa na hii kitu

Siku, JK atakapoamua kupambana nao kwa dhati ila sijui ni lini, utakuwa ndiyo mwisho wao. Mbona Italy wamewaza kuwakabili Mafia and they (Mafia) are almost dead in Italy kwanini sisi tushindwe au kwa sababu PM alisema wakikamatwa nchi itayumba?
 
Msemaji na mtendaji mkuu wa serikali alishasema uchumi utayumba,na ukihojihoji utapigwa kumbuka polisi wameagizwa kufanya hvyo
 
Msemaji na mtendaji mkuu wa serikali alishasema uchumi utayumba,na ukihojihoji utapigwa kumbuka polisi wameagizwa kufanya hvyo

Nape na Mwigulu watakuja kuanika yote haya soon
 
Back
Top Bottom