Msakuzi Ad
Member
- Feb 11, 2019
- 27
- 25
Simba mapema ameshapost cover Instagram kuwa tarehe ya Darby imetangazwa, YANGA haja post je Viongozi wa Yanga wataleta timu uwanjani.
#UbayaUbwela
#UbayaUbwela
Mi nawaunga mkono yanga hadi washuswe daraja.Kwamba leo Yanga wanamuogopa Demu wao aliomkojolea mara 4 mfululizo na mara ya Meisho alimgonga 5 na akaja mpiga kamoja ka nguruwe?
Eti Yanga wanamuogopa Mpanzu ambaye hana maajabu dhidi ya JKT Ruvu au zile timu za Madrassa na Vigango vya Kombe la akina Mama? 😉🫠🙃🙂
Basi jaribuni hata kuficha nyuchi za akili zenu nyie vijana wa Rage kwani mnatuonesha namna gani vichwa vyenu vilivyouchi. 😇😇🤣