Kwamba leo Yanga wanamuogopa Demu wao aliomkojolea mara 4 mfululizo na mara ya Meisho alimgonga 5 na akaja mpiga kamoja ka nguruwe?
Eti Yanga wanamuogopa Mpanzu ambaye hana maajabu dhidi ya JKT Ruvu au zile timu za Madrassa na Vigango vya Kombe la akina Mama? ππ« ππ
Basi jaribuni hata kuficha nyuchi za akili zenu nyie vijana wa Rage kwani mnatuonesha namna gani vichwa vyenu vilivyouchi. πππ€£