amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Nasikia lulu alizaliwa nje ya ndoa, na huyo baba ana mke na watoto, ila kimemeta yupo vzur we ushamuona baba lulu anahangaika na mwanae kumuomba hela kama akina baba flani na mama flani? Inshort baba yake lulu ni msomi na mwenye uwezo wake mzur tu, ni auditor
Hivi barbadian queen na munalove huko ig wanafanya kazi gani?
kutwa mapicha huyo barbadian ndo bata na kukaa uchi hata siku moja hawajaonyesha office zao