Kesi kuhusu kujiuzulu Spika: Mbatia atabezwa, lakini ana hoja

Then, you keep mum at a vivid violation of a constitution requirement? "Basi, kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa na katiba. Tujiendeshe tu kama wanyama wa mwituni".
 
Ndugai hawezi kulazimishwa kuwa Spika na mchakato wa CCM wa kumpata mgombea uspika siyo suala la kikatiba au sheria za nchi.
Precisely the fact

Ntakujibu wewe na wengine wote walio ni quote through this post

Turudi kwanza kwenye matukio yaliyopelekea hadi speaker kujiuzuru. Kutokana na kauli yake si ajabu CCM walishaanza fitna za kutaka wabunge wao kumwondoa kama kanuni za bunge zinavyoelekeza. Kuna wabunge kadhaa walishaanza kumponda hadharani na wenyeviti wa mikoa wakitaka aachie hiyo nafasi.

Let’s assume the above events had an agenda behind the scene oust him. Therefore Ndugai was doomed option zake ilikuwa ajiuzuru au asubiri barua ya wabunge kukosa imani nae kama taratibu zingine za kumuengua kisheria zinavyoelezea na kumdhalilisha.

Mwisho wa siku Ndugai mwenyewe akaamua kujiuzuru sasa either alifuata taratibu au la in the process provided he is sticking by his decision maamuzi ya mahakama ayawezi badili kitu zaidi ya kutaka afuate formal process.

On the other hand mchakato wa kupendekeza jina la speaker ni independent kwenye vyama vya siasa. Kila chama na taratibu zake ilizojiwekea, the only condition ni iwapo mtu anaependekezwa kugombea na chama chochote kama sio mmbunge uteuzi wake lazima uwe vetted na msajili wa vyama.

So kwakuwa swala la kujiuzuru kwa speaker na kuteuliwa kwa mgombea nafasi ya speaker kichama ni independent events; mwisho wa siku hakuna kitu Mbatia ata achieve kwenye hiyo case zaidi ya kupoteza muda mahakamani.

Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu ni haki yake akiamua but a fruitless mission.
 
Interest anayo ndio maana aliomba msamaha Ila vishoka wakaibuka kumshambulià.
Wala sibishi ndio maana naona there is more to why Ndugai resigned behind the scenes than what meets the eye. Binafsi naamini asingeachia nafasi mwenyewe basi wangemtolea kupitia taratibu za sheria.

Nakubaliana 100% na wale wanaodhani ili la Ndugai liwe somo mbeleni ziwekwe ibara za kumlinda speaker zaidi in the future if s/he is to be independent.

Lakini kwa sheria za sasa Mbatia anapoteza muda tu.
 
Then, you keep mum at a vivid violation of a constitution requirement? "Basi, kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa na katiba. Tujiendeshe tu kama wanyama wa mwituni".
I reiterated to someone else before in this discussion I am not against the act of defending principles. But considering the insignificant of the error to actual outcome; the efforts are somewhat fruitless other than waste of court time and resources.
 

Kinachobishaniwa ni kipengele kinachotaka speaker akajiudhuru bungeni au kwenye bunge.
 
Kuna kitu unajichanganya hapa, utaratibu wa Spika kujiuzulu uko wazi kuwa atoe taarifa yake kwa Bunge. Maana yake hapa Ndugai alitakiwa kuandika barua yake ya kujiuzulu kwa katibu wa Bunge na baadaye katibu wa Bunge angeiarifu CCM kuwa mtu mliyemdhamini kuwa Spika amejiuzulu na kuwa nafasi hiyo iko wazi.

Kilichofanywa na Ndugai ambacho ni kinyume cha utaratibu au sheria ni kuandika barua yake ya kujiuzulu CCM halafu katibu mkuu wa CCM akamtaarifu katibu wa Bunge.

Kitu ambacho katibu mkuu wa CCM angeweza kufanya ni kuandika barua ya kuondoa udhamini wa CCM kwa Ndugai na hivyo kukosa sifa ya kuendelea kuwa Spika. Baada ya hapo katibu wa Bunge angetoa taarifa kwa umma kuwa Ndugai hana sifa ya kuendelea kuwa Spika kwa sababu CCM imeondoa udhamini wake kwake na hivyo kiti cha Spika kiko wazi.
 
Kinachobishaniwa ni kipengele kinachotaka speaker akajiudhuru bungeni au kwenye bunge.
Soma tena posts yako “akajiudhuru bungeni au kwenye bunge” isn’t that the same thing.

Anyway mie sipo huko sana, hoja yangu ni kwamba hiyo case ya Mbatia ‘ashinde au ashindwe’ aibadilishi kitu.
 
Sawa sikatai lakini mahakama ikiona makosa hayo; hakuna kitakachobadilika zaidi ya kumwagiza Ndugai afuate taratibu.

Utegemei Ndugai abadili misimamo wake wa kuachia nafasi kwa utashi wake mwenyewe.

Alikadhalika vyama vya siasa vyenye nia ya kutoa mgombea wa nafasi ya speaker itakayoachwa wazi kama bado kama mnavyodai michakato yao ni independent. Mahakama aiwezi waamuru warudie process ya kupendekeza majina zaidi ya kuwataka kuyatoa hayo majina bungeni kwa sasa mpaka speaker atakapo jiudhuru kama mnavyotaka.

So the whole case is pointless in the end.
 
Hauko sahihi sana na utakua miongoni mwa wanaotetea ufunjifu wa taratibu tuliyojiwekea kwenye katika.
Ingekua hivyo basi katiba ingetamka ukitaka kujiuzulu unakwenda kwenye kituo Cha radio na kusema nimeachia ngazi basi unageuza na kurudi home kwako.
Tuone umuhimu wa kufuata kikichoandikwa..
 
Naona hoja zinaenda in circle sitetei makosa kama yapo ya kutofuata taratibu, isipokuwa Mbatia ashinde au ashindwe case nothing changes.

Mchana mwema 👋
 
Job Ndugai hajawahi kuitendea haki katiba yetu kama yy aliisigina kwa wabunge 19 wa CHADEMA, basi nyembe ile ile ananyolewa yeye. Angelikuwa na faida kwa Taifa basi hata katiba yenyewe isingekaa kimya ingemkinga.
Mbatia ni takataka tu kwani yy aliwahi kusema Spika Ndugai amelifanya bunge liwe dhaufu na inabidi ajihudhuru mwenyewe kwa kuingiliwa wazi wazi na muhimili mwingine. Mahakama imepokea kwa kuwa wanajua nn kinaendelea.
 
Muuache azunguke mbuyu kesi ya kipuuzi nakutafuta kiki bure angeandika barua kwenda kwa katibu Wa bunge sawa tu kupeleka barua kwa katibu Wa ccm sawa tu hatakuwataarifu wabunge poa mifumo yetu inakutana hovyohovyo chama ndio kilimpa uwezo au kilimuamini hadi akawa spika kukitaarifu chama kilicho kupa ridha hakuna kosa chama kilicho mpa barua yakwenda bungeni kugombea uspika pia kinaweza kutoa taarifa kuwa dhamana ya spika imekoma kwani hayuko timam kiakili namfumo wetu hatuna mgombea binafsi ingeruhusu basi hoja yambatia ingekuwa nanguvu kweli kweli lakini nimwanzo mzuri wakuona katiba yetu inamapungufu makubwa haiwapi viongozi Uhuru hivyo naomba kesi yambatia ichukuliwe kama chachu yakuleta katiba mpya isichukue muda katiba inahitajika sana sanaaaa
 
Ni kweli kabisa Ndugai hawezi kujirudisha tena katika nafasi ya uspika, lakini endapo mahakama itakubaliana na Mbatia kuwa Ndugai alikiuka utaratibu basi anaweza kuadhibiwa kwa mujibu wa katiba na sheria.
 

Umeona mbali.
 
Ataapishwa,

Huku kesi ikiendelea
 
Upuuzi kama huu alioufanya Mbatia inapaswa mahakama itakapo tupilia mbali upuuzi huu wa kesi imuonye vikali na pia alipe gharama kwa upuuzi wake wa kuisumbua mahakama na majaji kwa upuuzi wake.
jaribu kuficha ujuha wako MATAGA pori Wewe,unatuaibisha hapa jamvini inaonesha jinsi Gani ulivyo nyumbu tu na hujui lolote kuihusu katiba ya JMT ila ni Punguani wa head na nyumbu,
Wapuuzi Kama nyie Ndio mtaji wa CCM kuendelea kubaki madarakani huko mkitumika kama toilet paper
Shwain!
 
Watanzania wanaotaka katiba mpya ndo hao hao wanaoona ni sawa kwa Ndugai kuvunja katiba iliyopo sasa.

Tulisema tatizo sio gari (katiba) bali dereva na abiria wake (wasimamizi wa katiba na wananchi wote).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…