nimerudi nlipigwa ban! haya ngoja tuijadili kesi ya JUMA NSWA&MATTABA V/S REPUBLIC(1995),hawa walikuwa maofisa wa jeshi la polisi walitumwa kutoka dar kwenda moshi kutafuta/kufuatilia gari aina ya NISSAN PATROL mali ya mfanyabiashara anayeitwa MR.LADWA lililokuwa limeibiwa na majambazi jijini dar na kukimbia nalo mkoani kilimanjaro sasa basi jeshi la polisi mkoani dar likawatuma maofisa wa polisi wawili ambao ni MR.JUMA NSWA na MATTABA ili kwenda mkoani KILIMANJARO kuungana na polisi wengine watatu kutoka mkoani KILIMANJARO sasa wakati wanafuatilia lile gari lililoibiwa na majambazi kuna gari jingine ambalo alikuwa anaendesha LIEUTENANT GENERAL,IMRAN HUSSEIN KOMBE na ROSSELEEN KOMBE(mkewe) sasa lile gari la KAMANDA KOMBE lilikuwa linafanana sana na lile liloibiwa na majambazi dar hivyo maofisa wa polisi wakalipiga risasi wakidhan ndio la majambazi hivyo kamanda kombe akatoka nje na kujisalimisha lakin akapigwa risasi