Serikali inashindwa sana kesi ndugu yangu Fanya uchunguzi...japo kesi za Mtikila ni maarufu sababu ya uzito wake...they are landmark cases.TFF ndio wapo kimya kujihukumu!
Sawa na kushtaki serikali kushinda hiyo kesi kazi ipo aliweza Marehemu Mch. Christopher Mitikila.