KESI MIRATHI YA NYUMBA KARIAKOO
Wakuu salama ! pana kesi ningependa kupata uwelewa,
Bibi hakuzaa aliacha nyumba kariakoo, alikuwa anaishi na binti wa jamaa yake wa ukoo ndg lakini sio wa damu, baada ya kufariki akamwachia nyumba bila maandishi alimpa tu hati, ndg wa hy bibi wakamuondoa huyo binti (kikao cha ukoo) wakauza hiyo nyumba kwa nguvu, wakati huo majirani wanadai kwa maneno bibi alimrithisha huyo binti, na nyumba ilishauzwa ni miaka karibia 12 ss,, binti kesi iko mahakama ya rufaa alishinda mahakama zote za chini mwenye nyumba na kupitia wauzaji waka appeal ….
Swali langu ni;
1. Binti akishinda atakabidhiwa nyumba kwa amri ya mahakama ?
2. Je akikabidhiwa nyumba, mnunuzi haki zake zitakuwa wapi ? au ndio kupoteza ?
3. Wauzaji ni group la watu walishakula pesa na wamesambaa, nani atamfidia mnunuzi ?
4. Je mapato ya hiyo nyumba kwa muda woote huo yatakuwa halali ya nani ?
5. Je Itabidi binti kulipwa / kudai hayo mapato ?
6. Je kwa wapangaji wa muda mrefu 5 yrs wameshalipa na muda wao haujaisha itakuwaje ?
Pia kwa nini kesi kama hizi ni nyingi sana kariakoo ?