Wataalam mnisaidie kumwelewe huyu shahidi amaposema maelezo haya najikuta nina maswali mengi.
Shahidi (Peter Katumbi): Mimi ni Mkristo, nina umri wa miaka 38 na ninafanya kazi ofisi ya upelelezi Kanda Maalum tangu mwaka 2012. Nipo kitengo cha Upelelezi wa Makosa ya Mtandao na nipo katika kitengo hiki tangu mwaka 2009 kwenye hicho kitengo.
1. kati ya 2012 na 2009 lini anatakiwa awe ameanza kazi?
2. sheria ya makosa ya mtandao ilipitishwa lini, 2009 au 2016?
3. mimi ndiyo ninashindwa kutofautisha au mwandishi wetu ndio kanivuruga?
4. na kama ndivyo shahidi alivyojieleze, nini hatma ya ushahidi wake?
maswali ni mengi,..