Kwa nini ktk zile picha za expansion joints zilizotapakaa FB, hawakwenda kwa mmiliki wa FB?Tatizo mamlaka zetu (serikali) havipendi vitu vya "made in Tanzania", JF ni mitandao ya kijamii kama ilivyo mingine tofauti yake waasisi wake ni Watz...kama ingekuwa mtu ametumia ID FAKE ya facebook alafu ameandika tuhuma kama za oilcom sijui wangemtafuta mmilki / Mkurugenzi wa facebook atoe ushirikiano?
Yule jina lake ni original na wame-trace imekuwa rahisi kumpata hata kama angekuwa member humu JF anatumia jina original wangem-trace na kumpata pia lakini kuna watu wenye majina fake kibao wanatumia FB na kuleta information mbaya kwa maslahi ya nchi lakini sijaona wakitafutwa kwa style ya kama hii issue ya Oilcom ya kuhakikisha wanawasiliana na mitandao husikaKwa nini ktk zile picha za expansion joints zilizotapakaa FB, hawakwenda kwa mmiliki wa FB?
Kumbuka hapa OILCOM walilalamika wakidai kuwa wamechafuliwa kwa kitendo ambacho hawajakifanya.Yule jina lake ni original na wame-trace imekuwa rahisi kumpata hata kama angekuwa member humu JF anatumia jina original wangem-trace na kumpata pia lakini kuna watu wenye majina fake kibao wanatumia FB na kuleta information mbaya kwa maslahi ya nchi lakini sijaona wakitafutwa kwa style ya kama hii issue ya Oilcom ya kuhakikisha wanawasiliana na mitandao husika
Nakubaliana na wewe 100% kwamba hawa jamaa walilalamika na polisi kufanyia kazi suala lao ni vizuri ila uzi huu na comment yangu imeangalia hali halisi ya mambo mengine yenye madhara kwa Taifa yanayotokea yasivyopewa kipaumbele pia na jeshi letu (hata kama sheria inakutaka ushitaki kama umechafuliwa lakini kuna mengine bado yanatakiwa yashughulikiwe na polisi hata mhusika asiposhitaki kwani unakuta yana madhara hasi kwa jamii ...mfano kuna page za watu zinawazushia watu uongo na kuweka picha zisizo na maadili aka za utupu na mambo mengine ya ajabu ajabu ukiondoa post inazomchafua raia namba moja hakuna zingine zinazochukuliwa hatua maana hizo ni mbaya kuliko kwa baadhi lakini)Kumbuka hapa OILCOM walilalamika wakidai kuwa wamechafuliwa kwa kitendo ambacho hawajakifanya.
Je, kule FB kuna kampuni yoyote ambazo habari zake zimewahi kutolewa kule na kampuni husika wakaenda kulalamika Serikalini?
Kama kijana wa expansion joint kakamatwa unategemea nini. Hii ni nchi ya ajabu kuliko ajabu yenyewe.Uongozi unahitaji Akili na Maarifa na wala sio nguvu na vitisho.
Huyu Fuhrer angestahili nishani kubwa ya Uzalendo lakini kutokana na Akili ya Mtu alivyo ndio amekuwa Adui.
Hii kesi tunashinda bila wasi wasi!!
Hakuna kesi hapo. JF itashinda! Wamesema ikishinda tukale mtori hahahhhhUongozi unahitaji Akili na Maarifa na wala sio nguvu na vitisho.
Huyu Fuhrer angestahili nishani kubwa ya Uzalendo lakini kutokana na Akili ya Mtu alivyo ndio amekuwa Adui.
Hii kesi tunashinda bila wasi wasi!!
Ninachoshangaa hao 'manjagu' badala ya kutumia thread hiyo iliyotolewa kuhusu hujuma,hv oilcom ni kampun ya nani? tuanzie kwanza hapa