Kesi namba 456 (Jamhuri vs JamiiForums): Shahidi akiri mshtakiwa namba 2 yupo kimakosa...

Sasa Mkuu fidia utakayo dai isiwe ni ela ya balimi mbili wamekusumbua sana
 
Observation nzuri mkuu ila pamoja na kwamba hakukuwa na sheria ya mtandao lakini bado kama jeshi la polisi walikuwa wanashughulika na issue za mitandaoni...kutokana na kubwagwa chini mahakamani ndio haja ya kuwa na sheria ya mitandaoni ikaja..rejea website kama zile Zeutamu etc
 
Shahidi jinsi alivyo hojiwa na wakili mtetezi kwa uzoevu wangu amesha shindwa kutoa ushahidi wake Mahakamani yaani amefeli ushahidi wake hauna nguvu anamtia mtu mwengine kwenye kesi wakati hahusiki katika hiyo kesi uamuzi wa mwisho ni hakim lakini Shahidi amefeli kisheria.
 
Nimesema mara kadhaa kuwa hii serekali inaweza kuwa ya kifisadi kuliko zilizo pita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…