Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

Wakili wa Serikali anamhoji shahidi

WS: Shahidi Umeulizwa swali Kuhusiana na kutosema kwenye Ushahidi wako kama Hukusema kama ulimpa simu, kwa nini Hukusema

Kibatala: OBJECTION kwanini.., Siyo swali nililouliza..

Jaji: Swali haliingi kwenye Record za Mahakama

Shahidi: Kama angeomba Mtu aje, Utaratibu Ungefanyika, Simu ingepatikana

WS: Uliulizwa kuhusu Watuhumiwa Kutenganishwa Central na Kule Mbweni, Ukasema Hukusema Kwenye Ushahidi Wako

Shahidi Mahabusu Wanatenganishwa...

MTOBESYA: OBJECTION Kwenye Ufafanuzi, It's not an Open Check

WS: Elezea kwa nini Hukusema Kama Mliwatenga

Shahidi: Kwa sababu anaye weza Kujua Watuhumiwa wamekaa Je huko Lock up ni Mtu wa Chumba Cha Lock Up

WS: Ukaulizwa Swali Ulikiri kwamba Mtuhumiwa anayekiri anatakiwa Kupelekwa Kwa Mlinzi Wa Amani, Ukaulizwa Ulimpeleka kwa Mlinzi wa Amani Ukasema Hapana, Ni kwanini

Shahidi: Hatukumpeleka kwa Mlinzi wa Amani, kwa sababu Tulikuwa tunawahi Kuhakikisha Hivyo Vitendo Vya Kigaidi havifanyiki

WS: Uliulizwa Swali na Mtobesya Kwamba Kama Ulikuwa na Taarifa za Awali Ukasema Hukuwa na Taarifa
Shahidi: Nilikuwa na Taarifa za Awali, Siyo Za kina wakati namkamata Mtuhumiwa,

WS: Mheshimiwa Jaji tunaomba Tukomee hapa

Jaji: Shahidi tunakushukuru Kwa Ushahidi wako Kwenye Kesi Ndogo

WS: Robert Kidando Mheshimiwa Jaji tunaomba Hairisho Mpaka Kesho tarehe 12 Mwezi wa 11 2021, Ilituendelee na Shahidi Mwingine Na Ilituweze Kujiandaa Tunaomba Kesi ianze Saa 4 Asubuhi

Jaji: Utetezi

Kibatala: Mheshimiwa Jaji hatuna Pingamizi

Mawakili wa pande zote mbili wanakubaliana na Jaji

Jaji: Maombi ya hairisho yamekubaliwa, nahairisha Mpaka Tarehe 12.11.2021. Washtakiwa wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Kesho Asubuhi Saa 4 Asubuhi

Jaji anatoka
 
Huyu King Kibatala,Mtu mbad,Mwaisaaaaa kwanini serikali isiamue kumjengea mnara pale Kiluvya Mpakani ili watu wote wanaoingia jiji la Das'lam kupitia Morogoro road wajifunze kitu kutoka kwake?

Sanamu jingine la King Kibatala lijengwe pale Darajani Bunju kule mpakani mwa mkoa wa Pwani na Das'lam ili ndugu zetu wanaoitumia njia hiyo hasa wale wa kutoka mikoa ya Kaskazini wakifika pale wapate japo fursa ya kupata picha halisi ya mwamba huyu wa mahak'''man !?
Kongowe ya Mbagala sio lazima lijengwe sanamu pale ujengwe mnara tu wenye jina lake ili wasafiri kutoka mikoa ya kusini wateremkie pale.

Na kwanini isiwe lazima kila mtu anayetoka nje ya Tanzania akaguliwe kwenye simu yake kama ana picha ya King Kibatala mtu mbad mwaisa ili kama hana asiruhusiwe hata kusogelea viwanja vyetu vya ndege?

Na kwa wageni iwe lazima ukitua airport uwashe bloototh wakurushie picha ya mwamba ndo uchome ndani.!!!!
Pale fery ukitoka na kuingia kwanini usiulizwe tu Kibatalaaa wewe ujibu Mwambaaaaaa ndo uendelee na shughuli zako kwanini isiwe hivyo?
 
Kesi ina pande zake na mbinu zake... Huwezi jua wao wamejipangaje. Kutumia nondo zipi wakati upi!!
"Huu bado ni wasaha wa kujua madhaifu ya kina Kingai..."
 
MASWALI YA WAKILI ANAYEJIITA MSOMI YAANI HAKUNA KITU NI KAMA ANATAFUTA TU MAHALA FULANI AKOSEE YEYE NDIYO ANASHIKILIA HAPO HAKUNA SWALI LA MSINGI HAPO TUKISEMA KIBATALA KANUNULIWA NA KINA LISSU AMFUNGISHE MBOWE MSIKATAE
 
Yaani wafuasi wa Mbowe wao wanacho taka kuona mara zote kuwa Jaji anaamua jinsi wao wanavyo taka, kinyume cha hapo, wataanzisha matusi na kejeli.

Hiii inathibitisha wazi jinsi walivyo funzwa na kiongozi wao tabia za kihalifu na wamekomaa.
 
Hii ya leo wewe unefurahia? Hongera ila inaumiza sana.
yaani wafuasi wa mboe wao wanacho taka kuona mara zote kuwa Jaji anaamua jinsi wao wanavyo taka, kinyume cha hapo, wataanzisha matusi na kejeli.
hiii inathibitisha wazi jinsi walivyo funzwa na kiongozi wao tabia za kihalifu na wamekomaa.
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 11/11/2021 yanatolewa maamuzi ya kesi ndogo Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.

Kujua jana kesi ilipoishia, soma
Sawa na game ya Taifa Stars na Congo hii ss usiniulize wapi Congo DRC naimani unajua
 
Sioni cha nguvu hapo zaidi naona Rose Muhando anafanya kazi
 
ubambikiaji wakati mzee mboe alikuwa anapanga mikakati ya kuvuruga amani ya nchi, kisa uchu wa madaraka, sasa ngoja akawe mnyampara.
Wakala wa shetani upo...!Una mtaja YESU kinafiki.Mungu wa Mbinguni na akuadhibu yeye mwenyewe siku ya Jumamosi ukienda kanisani SDA(KAWE).Unaijua ukweli kuhusu hii kesi unajua kuwa MBOWE si Gaidi Lakini Kwasababu ya tumbo lako na njaa zak o unaamua kusariti ukweli na kutenda uovu ili LUMUMBA wakilipe.

Chagua mmoja utumikie shetani ambaye ni BWANA wa Uongo .Au umtumikie MUNGU wa Sabato.Kanisa letu SDA ambalo Mimi na wewe zandrano tunaabudu linakataa unafiki.

Mungu anashindwa kujibu maombi ya kabisa Kwasababu ndani ya kabisa letu Kuna wakala wa shetani anayesimama madhabuhini
 
yaani wafuasi wa mboe wao wanacho taka kuona mara zote kuwa Jaji anaamua jinsi wao wanavyo taka, kinyume cha hapo, wataanzisha matusi na kejeli.
hiii inathibitisha wazi jinsi walivyo funzwa na kiongozi wao tabia za kihalifu na wamekomaa.
Wewe unasema kila siku kwamba mara Mbowe gaidi, lazima afungwe, ni kwa mujibu wa sheria, Au ni umbumbu wako tu?
 
yaani wafuasi wa mboe wao wanacho taka kuona mara zote kuwa Jaji anaamua jinsi wao wanavyo taka, kinyume cha hapo, wataanzisha matusi na kejeli.
hiii inathibitisha wazi jinsi walivyo funzwa na kiongozi wao tabia za kihalifu na wamekomaa.
Vipi mliofunzwa na majambazi/maharamia wa kijani. 🏃
 
Kama Mchungaji wako asipo mtenga kwenye ushirika huyu mnafiki, hama hilo kanisa!
 
ubambikiaji wakati mzee mboe alikuwa anapanga mikakati ya kuvuruga amani ya nchi, kisa uchu wa madaraka, sasa ngoja akawe mnyampara.
Ukisikia kitu tumia usitumie masikio kukielewa!
Lakini hata ka huna akili kiasi hicho jitahidi uazime kwa majirani wenye uelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…