Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
nikicompare na hii ya lulu wa kanumba basi naona katoto kuachiwa na kenyewe!
Ushahidi wa kumpata Lulu na hatia sidhani kama upo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikicompare na hii ya lulu wa kanumba basi naona katoto kuachiwa na kenyewe!
Huyu Dr. Haule huyu ndiye yule wa Asha Mkwizu?
Duh, huyu Taji mtoto aliyebaki ndio huyu mtangazaji Taji Liundi?
mkuu we mwanasheriaa hizi kesi zako zinanivutia sanaaaHaya ni Ijumaa nyingine tena wasomaji wa JF, nimekuja na kesi hii iliyowahi kutokea hapa hapa nchini miaka ya mwishoni mwa 1970. Leo sina maneno mengi, nawaachie wenyewe msome na kuweka maoani yenu...........
Kwanza wali commute to
life sentence,kisha Mwalimu akamuachia after seven years,she is alive
and well,yuko hapa dar maeneo ya keko.
Kuna mdau alijibu hili swali.............Huyu Dr. Haule huyu ndiye yule wa Asha Mkwizu?
Thanks Mtambuzi!kesi hii ni moja ya kesi zilizowahi kutikisa jiji la Dar,kamakesi ilivyofuata kwenye miaka ya 80 mwanzoni kesi iliyomuhusu Dr huyu huyu kwenye kesi hii.Jambo kubwa hapa,kesi zote zilihusisha mambo ya mapenzi,tena kwa vijana wasomi wa kipindi hicho!na zote zilipelekea mauaji ya kutisha!!!Jamo moja kubwa la kujifunza hapa kwetu sote,pamoja na madhaifu yetu kama binadamu,hakuna jambo linaloweza kuumiza nafsi ya mwenzio kama usaliti wa mapenzi.Na basi tunapoamua kuingia katika ndoa ni lazima uamuzi huo uwe umefanyika kwa dhati!!Leo mzee Liundi pamoja na heshima yake katika jamii nadhani ni jambo linalomuumiza mpaka siku mauti yatakampomkuta!!!TUPENDANE KWA DHATI!!!!NDOA SIO MAIGIZO AU MAKARATASI YA MAKANISANI,MSIKITINI AU KWA MKUU WA WILAYA!!
Ahsante sana Mtambuzi kwa kutuwezesha kuifahamu kesi hii kwa undani kidogo, maana tulikuwa tunaisikia kwa masimulizi ya juu juu.
Kitu ambacho sijakiona katika kesi hii ni mashahidi wa pande zote mbili kama ilivyokuwa katika kesi ya Asha Mkwizu ama zile kesi za wamarekani. Hapa unaonekiana ushahidi wa daktari Haule pekee.
Btw, hivi huyu daktari Haule ndiye yule aliyekuwa mume wa Asha Mkwizu ama ni majina tu yamefanana?
Thanks Mtambuzi!kesi hii ni moja ya kesi zilizowahi kutikisa jiji la Dar,kamakesi ilivyofuata kwenye miaka ya 80 mwanzoni kesi iliyomuhusu Dr huyu huyu kwenye kesi hii.Jambo kubwa hapa,kesi zote zilihusisha mambo ya mapenzi,tena kwa vijana wasomi wa kipindi hicho!na zote zilipelekea mauaji ya kutisha!!!Jamo moja kubwa la kujifunza hapa kwetu sote,pamoja na madhaifu yetu kama binadamu,hakuna jambo linaloweza kuumiza nafsi ya mwenzio kama usaliti wa mapenzi.Na basi tunapoamua kuingia katika ndoa ni lazima uamuzi huo uwe umefanyika kwa dhati!!Leo mzee Liundi pamoja na heshima yake katika jamii nadhani ni jambo linalomuumiza mpaka siku mauti yatakampomkuta!!!TUPENDANE KWA DHATI!!!!NDOA SIO MAIGIZO AU MAKARATASI YA MAKANISANI,MSIKITINI AU KWA MKUU WA WILAYA!!
Ronn M ..........Ahsante kwa maoni yako.......... Naomba usaidie kujibu baadhi ya maswali ya kisheria yatakayojitokeza humu, maana ki ukweli mimi sio mtaalamu wa sheria........................!Doris alikuwa na state of mind which would be subjected to defence of diminishing responsibility. This defence is given when an accused mind was 'impaired' at the time of committing a crime. However it was not in our laws at the time. The judge could not read it in our laws or at invoke it as a new law
nikicompare na hii ya lulu wa kanumba basi naona katoto kuachiwa na kenyewe!
The Listener ...............Mkuu nautambua uwepo wako katika thread hii, leo mimi nimeamua nisiwe mchangiaji sana niwaachie wasomaji.......................Thanx brother Mtambuzi. Nimekuja tena kwa mara nyingine mimi ex detective - the listener. Wakati naanza kusoma kisa hiki katika hatua za mwanzo mwanzo akilini ikawa inanijia picha ya kuwa huyu mama atashinda kesi kwani yaonekana kweli alipata rukwa na akili - temporary insanity'. Kama zisingekuwepo barua alizoandika na kuonyesha dhamira yake ya kufanya mauaji ya watotot wake, kuna kila dalili kuwa angeweza kuwa huru. Barua hizi zinaonyesha wazi kuwa alikuwa anajua fika ni nini alikuwa anakifanya wakati anawapa sumu wanae na suala hili hasa ndo lililopelekea kumtia hatiani
Thanx again brother kwa visa hivi kwani naona narefresh kwa kazi nilizofanya miaka ya nyuma. I hope next friday utakuja na kitu kingine motomoto
Ronn M ..........Ahsante kwa maoni yako.......... Naomba usaidie kujibu baadhi ya mashali ya kisheria yatakayojitokeza humu, maana ki ukweli mimi sio mtaalamu wa sheria........................!
Ronn M ...............Nimekusoma mkuu..........Ahsante sanaKezi za jinai huwa proved beyond reasonable doubt, yaani mtu mwenye akili timamu akiulizwa kuhusu hatia ya mtuhumiwa aseme bila shaka yoyote kuwa mtuhumiwa ametenda kosa hilo! Sasa hii ya Lulu kila mwenye akili timamu anajiuliza 'ni kweli haka 'katoto' kalimwua kanumba? In absence of clear evidence this kid will be free, most likely
Kwa hiyo mzee Liundi mwenyewe hakuingizwa katika kesi?
Kezi za jinai huwa proved beyond reasonable doubt, yaani mtu mwenye akili timamu akiulizwa kuhusu hatia ya mtuhumiwa aseme bila shaka yoyote kuwa mtuhumiwa ametenda kosa hilo! Sasa hii ya Lulu kila mwenye akili timamu anajiuliza 'ni kweli haka 'katoto' kalimwua kanumba? In absence of clear evidence this kid will be free, most likely
Hiyo standard ya beyond a reasonable doubt nayo ni subjective vile vile. O.J. Simpson watu wengi waliona kuwa ana hatia. Ushahidi wa kisayansi pia ulionyesha hatia yake. Hata physical evidence pia zilionyesha ana hatia. Lakini jurors wakamuona hana hatia.
The bottom line is law is maddeningly subjective because so much is usually left up to individual interpretation and that's why sometimes you have wrongful convictions and wrongful acquittals.
Kuhusu maelezo ya mashahidi naomba uniwie radhi, kwani nilipata kesi ya rufaa, na sikupata kesi ya mahakama kuu ambayo ina details zote...........Nasikitika kwamba juhudi zangu hazikuzaa matunda, lakini naamini sijawaangusha, nimejitahidi kuiandika kwa makini ili nisipoteze maana.