Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki.

Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika madaraka anapandikiza wa kwake atakae washika mkono watoto wake miaka ijayo

Watoto wa makabwela hata mtoke na first class huko chuo kikuu, mtaendelea kupiga kura , kuna royals wameshaandaliwa kufanya maamuzi juu yenu iwe kwa kuteuliwa au kwa kuchaguliwa.

Tuna tabaka la wapiga kura na wapigiwa kura.
===

Shahidi wa kwanza ACP Kingai aliwakamata watuhumiwa wakati wakinywa supu
✍Shahidi wa pili Insp Mahita anasema waliwakamata wakati watuhumiwa wakitembea .

Tusubiri Shahidi wa tatu ....

@SuluhuSamia Sio aibu kuondoa hii fedhea Mahakamani.
 
Jina la mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki...
Mtanyooka tu hata kama walikuwa wanatembea au wanakula hai ni magaidi wameshaungia line
 
mimi nilisoma na watoto wa mahita pale kibo primary darasa la 2 na 3 nikahamia ar. arusha school baba yao akiwa rpc kilimanjaro na marehemu sita akiwa rc . mzee akiwa airline kia, mmoja wakiume na wakike siwakumbuki majina ila class dem alikuwa bright sana
 
Back
Top Bottom