Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

Huyo Demu kamwe hawezi kuwa polisi.
 
Jina la mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki...
Mbona huongelei dada wa Lissu alivyokuwaga Mbunge? Mbona huongelei Mbowe shemeji wa Mzee Mtei muasisi wa Chadema kuwa Mwenyekiti wa kudumu Chadema?

Mbona huongelei Jesca kishoa mke wa Kafulila kuwa mbunge wa Chadema. Mbona huongelei mtoto wa Ndesamburo Lucy Owenya kuwa mbunge vitu Maalum Chadema? Mbona huongelei Joyce Mukya hawara wa Mbowe kuwa mbunge vitu maalum Chadema?

Kuna kosa gani mtoto wa Mahita kuwa askari?
 
Mwenyekiti mstaafu Edwin Mtei alimuachia mkwe wake chama na Uenyekiti. Tz yote ni moja na matendo yanafanana
 
Hizo kazi zakisiasa ulizozitaja nazenyewe wanaajiriwa kama kazi za ajira rasmi serikalini.Mbona unaweweseka hivi.maana ata mtoa mada hajasema ni vibaya mtoto wa mahita kua askari.umejishtukia tu.
 
Duh...!
Mashahidi wawili wanatoa aina mbili tofauti za ushahidi.
Hapa inadhihirisha walisomea vyuo viwili tofauti sababu kila mkufunzi wa polisi ni baba wa uongo kama shetani
 
Watoto wake wawili wa kiume walishasoma Arusha pia
 
Acha mzaha ,ngumu kusahau jina la Class met wako Ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…