17 September 2021
Kesi ya Mwenyekiti Mbowe: Yaliyojiri Hadi Sasa na Maana yake Kisiasa.
Kesi namba 16 / 2021 yavutia wadau wengi na ina maslahi mapana kwa umma na sifa au doa kwa serikali
Kesi kubwa hii namba 16 / 2021 ya Jamhuri dhidi ya Freeman Mbowe na wenzie 3 inafungua milango ya wananchi kutoka majumbani mwao kwenda kushiriki ktk shughuli na harakati za kisiasa.. kwa namna nyingi ... bila kuwasahau wadau wa maendeleo kupitia balozi zao Tanzania waliojifunga vibwewe kuhakikisha wanahudhuri kesi hii bila kuchoka na kutuma taarifa kwa serikali zao na Mabunge yao ya kitaifa na kikanda kama EU ...
Pia ikiwemo UN / Umoja wa Mataifa
Freeman Mbowe afungua mashitaka Umoja wa Mataifa kuhusu Haki zake wakati anakamatwa na kuendelea kubakia kizuizini
Kesi ya Nyerere 1958 ya uchochezi
Kesi ya Julius Kambarage Nyerere, rais wa Tanganyika African National Union, kwa "kashfa" dhidi ya maDC wa kikoloni wawili, 1958 (Book, 1990) [WorldCat.org] ,
Kesi ya Jomo Kenyatta
The case that immortalised Kenya's ‘Kapenguria Six’ zote ziliopelekea wanasiasa Nyerere na Kenyatta kuwa mawaziri wakuu
Julius Nyerere, Jomo Kenyatta, Nelson Mandela n.k walipitia tanuru la moto kama mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzie 3
https://www.sahistory.org.za › article
Kenyan Timeline | South African History Online
26 Feb 2021 — The state of emergency is lifted and talks are held at Lancaster House in London to discuss Kenya and Jomo Kenyatta at Lancaster House ..
NELSON MANDELA
Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa
Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria
In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.
For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.
In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.
Often referred to as
"the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.
READ MORE
Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online
Nelson Mandela: The Rivonia Trial
The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarity films
Source : Nadj media centre