Gwaje
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 299
- 85
ninamgogoro wa ardhi katika baraza la wilaya kesi bado japo nimemaliza kutoa ushahidi kwa upande wa mdai na pia mdaiwa anatarajia kutoa ushahidi wake.
yapo mambo ambayo naomba msaada wenu waungwana:-
1. Baada ya kufungua kesi mdaiwa alifungua kesi pia dhidi ya Halmashauri na wakafanya makubaliano na kuyawakilisha barazani je makubaliano hayo na kesi hiyo kisheria ni halali? yaani wakati umeshitakiwa kuhusu kuvamia kiwanja na wewe unaweza kufungua kesi baraza hilohilo dhidi ya mtu mwingine ili akutambue?
2. makubaliano hayo wameyafail kwenye kesi yangu yatumike kama sehemu ya utetezi wao je ni sahihi? na nini kifanyike au taratibu zinasemaje mtu kutumia ushahidi wa kesho kwenye kesi ya juzi?
3. Kama kuna mapungufu yeyote kisheria hapo nichukue hatua gani maana wao wanatarajia kutoa ushahidi soon?
4. Kisheria valid documents ni ipi ya juzi au ya leo wakati ya nyuma hakuna andiko au tamko la kuifuta?
5. Halmashauri niliwaalika kama mashahidi wangu je mdaiwa pia anaweza kuwatumia kama mashahidi ? yaani taasisi moja inaweza kuwa shahidi kwa pande zote mbili?