Google Usije kututeka!NrNe,.
Watu wazima naomba mnielezee Kuna Jambo silielewi,. ( Namaanisha watu wazima na wenye kujua mambo )
Nauliza sio Kwa ubaya lakini,. Hivi kesi ya Yule babu seya sijui Sea ilikuwaje kuwaje?, yaani alifanya Nini Hadi akafungwa , na kwanini watu walikua wanamhusisha na mheshimiwa yaani kilitokea Nini??,.
Yaani nataka nijue story yake Hadi alivyokuja kutolewa gerezani..
Narudia Tena, nimeuliza ili kujua tu Sina maana yoyote ovu wala nisifikirike vibaya..Nina hamu ya kuifahamu Kwa undani hii habari
Nimegugo sana na kusearch lakini zinakuja habari tofauti tofauti so sielewi ipi ni ipiGoogle Usije kututeka!
Kwamba uncle na wewe ulikua hujazaliwa au sioNgoja sisi tuliokuwa wadogo kipindi hicho tukae hapa tusubiri wakubwa watuambie😅
Japo Kwa udogoit's a long story
Ni hivyo tu basi??..Nafikiri ni kesi ya ubakaji na ulawiti wa watoto 🤔
Mengine nafikiri walipata msamaha wa raisi 2017 kama sikosei🤔Ni hivyo tu basi??..
Hapo sawaMengine nafikiri walipata msamaha wa raisi 2017 kama sikosei🤔
Tusaidie kushare mkuu.it's a long story
Asante mkuu,.ngoja nitulie nisomeKesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa.. Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...www.jamiiforums.com
Ooh oukayAlisingiziwa kubaka watoto enzi za utawala wa Kikwete akawekwa ndani yeye na watoto wake, akaja kupewa msamaha enzi za utawala wa Magufuli hicho ndio ninachokijua
ila nyuma ya Pazia nasikia ni ugomvi wa wanawake
Asante mkuu Kuna mtu ameleta link Wacha nisome vizuri hukoFuatilia humu jamvini imeongelewa sana, hasa ule uzi baada ya kusamehewa kifungo chao watu wametiririka