Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Japo Kwa udogo
baby seya na papi kocha walitiwa mbaroni kwa kesi ya ubakaji na ulawiti wa watoto 10 wakike wenye umri kati ya miaka 6 mpaka 8 ambao walikua wanafunzi wa shule ya msingi mashujaa, sinza dam 2003 hiyo

2004 wakala namba gereza la upanga

But kulikuwa na something beyond.
 
Sawaa
 
Kuna mahali niliona amepostiwa mtoto wa mwisho wa mama Sk kagraduate,. Mazungumzo ya Waja yakaniogopesha kidogo nikataka na Mimi nifaham
 
Kuna mahali niliona amepostiwa mtoto wa mwisho wa mama Sk kagraduate,. Mazungumzo ya Waja yakaniogopesha kidogo nikataka na Mimi nifaham
Nasubiri utulie usome link madam , ila naona bado🤔
 
Unatutafutia ubaya ujue.

In short alitembea na mke wa mheshimiwa mkubwa sana , na akamtungia na wimbo kilichofutia familia nzima alihusika na ubakaji wa watoto na wote wakaenda jela, ashukuriwe magufuli.
 
Wakati nasoma mashujaa primary miaka hiyo niko mdogo babu seya alikuwa anakaa mitaa pale karibu na shule kuna wazazi walimfungulia mashtaka kwa kosa la ubakaji na ulawiti, ilikuwa kama kesi ya kusingiziwa wakati kipindi hicho alihusishwa na kutembea na mke mdogo wa muheshimiwa maybe
 
Alimkula Saaalma, ambaye baadae akawa mke wa Jeikei.
Akabambikiziwa kesi ya kubaka watoto yeye na wanawe
 
Jamaa aliporwaga manzi yake nakupewa kesi.niile tu hari ya kuwakikwazo cha furaha ya mwenye nguvu
 
Unatutafutia ubaya ujue.

In short alitembea na mke wa mheshimiwa mkubwa sana , na akamtungia na wimbo kilichofutia familia nzima alihusika na ubakaji wa watoto na wote wakaenda jela, ashukuriwe magufuli.
Oooh,. Baasi inatosha
 
Baasi wakuu nimeelewa
 
Mzee yule na mtoto wake walipewa kesi isiyo bila Ushahidi wala vidhibiti vya ushahidi ila Kwa waliofahamu familia ile mwanamke huyo aliekuwa na mahusiano na seya alikuw na mahusiano na mtu mwingine mwenye Nguvu ndio sababu seya alipotezwa Na Magufuli apumzike kwa amani alijua seya hana makosa ndio maana alimtoa kwa msamah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…