Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Hivi kwa nini mnakosa UTU,kiongozi gani mwenye akili timamu anayejali raia wake anaweza kumwachia a "MONSTER"like NGUZA!
 
Acha kuleta wanzuki zako hapa.... jadili mambo ya maana na sio kuteteta wabakaji....
 
Jamani msisikie, kupigiwa kunauma,hata ingekuwa mimi ningemrostisha babu Seya, yaani mahali mkuu anapumzikia yeye akafanye pumziko lake, hapana wacha aozee huko hyko lupango.

Fafanua hapa, una maana WALIGONGANA LIVE, MAMBO YA SAME GIRL?! Maana naskia kiranja we2 ni mtamu kwa yale mambo!
 
Gsana, kwanza utueleze uhusiano wako na babu seya family ukojee vinginevyo ningekuelewa kama ungewatetea 'wabakaji' wote walioko lupango, ingawa ni kweli kwa washabiki wa babu seya inauma sana

mkuu mbona ndani ya maneno yako tisa ya mwisho umeamua kujibu maelezo uliyoyataka nitoe? Sasa nijibu nini zaidi ya maneno ya kweli uliyosema? Pia nakuomba ufuatilie "decisis" ya kesi ndo upate kwa nini napenda sana kurely hapo.Nakushukuru.
 
Acha kuleta wanzuki zako hapa.... jadili mambo ya maana na sio kuteteta wabakaji....

we naweza kukuweka kwenye grupu la mataila. Wenye akili wanajenga hoja,vichaa wanatukana. Hakika ukimgusa mtu vibaya anaonesha uhalisia wake,nimekugusa vilivo ukaanza kutaja vitu uvipendavo WANZUKI. We ni zezeta,nakuelezaa tena wewe ni zezeta anayetukana akidhani anaongea.
 
Mi sipendi kabis sheria ifanyayo kazi kwa kuangalia majina.
 
Cha mtu mavi, ukikiona kiteme mate, Babu Seya aliingilia kibustani cha mkwere tena kwa fujo, na unajua mkwere kwa visasi ndiye mwenyewe, habari ndiyo hiyo.
 
Kutokana na huyu mzee maarufu kwenye fani ya muziki kulamba kimada cha mkuu wa kaya, alibambikiziwa kesi ya kubaka na wanaye na matokeo yake kutupwa gerezani. Krismasi ya leo yupo rumande ilhali wakwere wamejazana ikulu wakicheza ngoma. Tunaomba mzee wa watu aachiliwe huru. Hauwezi kumnyima mtu haki yake ya msingi ya kuishi kutokana na tamaa yamwanamke. Tyari unao wanawake kibao na pia kuwazalisha maelfu, sasa kwa nini umuharibie mtu maisha yake?

Fikiria wewe kwenda lupango na Riz1, Miraji, khalfani na wakwere wote utajisikiaje?
 

Mie hii kesi ya Babu seya naona mnaelekea pabaya waungwana JK ameingia wapi? Kwani babu seya na wanae hawakufanya kosa?
 
Walawiti sehemu yao ni jela. Huyo babu Seya wako anastahili kuwa huko. Niliongea na watu walioendesha upelelezi wa huyu babu na wanasema ni kweli kabisa aliwalawiti wale watoto. Haiwezekani watoto wengi kiasi kile wamsingizie! Atumikie angalau miaka 20 ndio asamehewe!
 

Hata kama huyu Babu Seya angekuwa amesingiziwa, sioni connection yeyote ya kesi yake na Mkuu wa Kaya. Mtoa mada anaponzwa na ushabiki wake kwa mwanamuziki huyu na anashindwa kuelewa huyu mtu wake amewaumiza hawa watoto na familia zao kwa ujumla. Ungesemaje kama mmoja wao aliyefanyiwa haya mabaya angelikuwa ni mtoto wako au dada yako? Wengi tuna problem za kisiasa na mkuu wa kaya lakini hatuwezi kumbambikizia kila kosa nchi hii la sivyo tutaonekana wapumbavu kama wale tunaowalaumu kwa kumsupport bila kuchambua ukweli.
 

Kama amefanya kosa hilo hakuna kusamehewa mie ningelikuwa JK ningelimuongezea adhabu akaoze huko huko mharibifu mkubwa. Kumbadilisha tabia mtu ni ngumu sana hata kama atafungwa miaka 50 akitoka ni wachache sana hubadilika wengi hurudia makosa yao.
 
Sheria imechukua mkondo wake. Kesi za kuonewa watu zimewahi kutokea na hukumu zilitolewa kwa ushahidi bandia. Kama una ushahidi mpya tafadhali ufikishe panapohusika ili kesi ianze upya. Pole hata mimi mpendwa wangu anatumikia kifungo kwa kosa alilotenda infact inauma lakini sina jinsi....:heh:
 
Nimesoma vizuri hukumu ya appeal ya kesi ya kina Babu Seya ambayo imepitisha maamuzi ya awali ya mahakama ya kuwafunga Babu Seya na Wanawe, lakini na kumwachia mtoto mmoja aliyeonekana hana hatia. Kuna testimony za watoto wenyewe wa shule ambazo zilidhihirisha hawa jamaa walikuwa wanawafanyia watoto mchezo mchafu sana. Ikiwemo kuwalazimisha wawanyonye penis zao na kuwaingia watoto wadogo wa shule kinyume na maumbile.

Kwa kweli nilipata hasira sana. Watoto hawa ni malaika na ni vigumu kwa wao kudanganya. Kila mtoto aliyepandishwa mahakamani kutoa ushuhuda wali corroborate maelezo yao kuhusu description ya chumba ambacho vitendo hivi vilitendeka na walieleza kwa ufasaha ushenzi ambao walikuwa wanafanyiwa.

Wallahi mimi mtoto wangu au wa ndugu yangu angefanyiwa hivi ningeweza kuuwa mtu!

Nimesikia hizo tetesi kuwa Babu Seya huenda alibambikiziwa kesi kwa kutembea na mwanamke wa mkulu. Kama kesi ilikuwa ya kubambika, im sure mahakama ingeona hili kwenye rufani. Kama kweli wameonewa Allah atawalipa wakifika Heaven. Dunia ni mapito tu.

Lakini kwa uzito wa uamuzi wa mahakama niliousoma, kwa imani yangu watu hawa wana hatia ya kuwabaka watoto wadogo wa primary school. They deserve to rot in jail!
 
Mie hii kesi ya Babu seya naona mnaelekea pabaya waungwana JK ameingia wapi? Kwani babu seya na wanae hawakufanya kosa?

Uliza kwanza ndo ukishaeleweshwa ndo utajua kama wanaingilia au namna gani so usikurupuke kama makamba!
 

Tusipende kuzusha vitu wendounamzalilisha mwenyekaya unadata kuhusu hilo? nakama unazo kwanini ulishindwa kuzipeleka mahakamani usipende kupotoshawatu atakamaanamapungufu tuongele mapungufuyake sikirauchafu amwagiwe yeye
 
Ugonjwa wa kupenda usiulete hapa,wewe kama unampenda babu seya basi mapenzi yako hayawezi kuwa juu ya sheria.Huyu mpenzi wako watoto wake wamewafanyia unyama watoto wadogo wa shule mikanda ya ushenzi ilidakwa france kaletewa mkwere[nadhani akiwa bosi waforeign affairs],naye kaiwasilisha kwa pilato wkt wa ile kesi na hicho ndicho mkere amekuwa akihukumiwa nacho kuwa kamfunga babuseya,sasa wewe ulitaka akae na huo ushahidi nyumbani kwake.Acha kutupotezea muda stori za kwenye vijiwe vya gongo.
Huyo babuseya mwache amalize kifungo chake sawasawa na hukumu aliyopewa kutokana nakitendo chake cha kukosa aibu na adabu.Naomba mods musiruhusu takatka kama hizi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…