Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hivi kwa nini mnakosa UTU,kiongozi gani mwenye akili timamu anayejali raia wake anaweza kumwachia a "MONSTER"like NGUZA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuleta wanzuki zako hapa.... jadili mambo ya maana na sio kuteteta wabakaji....naungana nawe,ili kuna sehemu baada ya appeal kufail pale alipoachiwa mmojawapo waliobaki waliomba msamaha kwa kuandika barua kwa rais. Ukiomba msamaha,kwanza unatii ndo msamaha unaombwa,ukitii unakubaliana na makosa. Ndo maana nkasema walikubali makosa. Tupo pamoja mkuu!
Jamani msisikie, kupigiwa kunauma,hata ingekuwa mimi ningemrostisha babu Seya, yaani mahali mkuu anapumzikia yeye akafanye pumziko lake, hapana wacha aozee huko hyko lupango.
Gsana, kwanza utueleze uhusiano wako na babu seya family ukojee vinginevyo ningekuelewa kama ungewatetea 'wabakaji' wote walioko lupango, ingawa ni kweli kwa washabiki wa babu seya inauma sana
Acha kuleta wanzuki zako hapa.... jadili mambo ya maana na sio kuteteta wabakaji....
... shimo la mwanamke...
Kutokana na huyu mzee maarufu kwenye fani ya muziki kulamba kimada cha mkuu wa kaya, alibambikiziwa kesi ya kubaka na wanaye na matokeo yake kutupwa gerezani. Krismasi ya leo yupo rumande ilhali wakwere wamejazana ikulu wakicheza ngoma. Tunaomba mzee wa watu aachiliwe huru. Hauwezi kumnyima mtu haki yake ya msingi ya kuishi kutokana na tamaa yamwanamke. Tyari unao wanawake kibao na pia kuwazalisha maelfu, sasa kwa nini umuharibie mtu maisha yake?
Fikiria wewe kwenda lupango na Riz1, Miraji, khalfani na wakwere wote utajisikiaje?
Walawiti sehemu yao ni jela. Huyo babu Seya wako anastahili kuwa huko. Niliongea na watu walioendesha upelelezi wa huyu babu na wanasema ni kweli kabisa aliwalawiti wale watoto. Haiwezekani watoto wengi kiasi kile wamsingizie! Atumikie angalau miaka 20 ndio asamehewe!Kutokana na huyu mzee maarufu kwenye fani ya muziki kulamba kimada cha mkuu wa kaya, alibambikiziwa kesi ya kubaka na wanaye na matokeo yake kutupwa gerezani. Krismasi ya leo yupo rumande ilhali wakwere wamejazana ikulu wakicheza ngoma. Tunaomba mzee wa watu aachiliwe huru. Hauwezi kumnyima mtu haki yake ya msingi ya kuishi kutokana na tamaa yamwanamke. Tyari unao wanawake kibao na pia kuwazalisha maelfu, sasa kwa nini umuharibie mtu maisha yake?
Fikiria wewe kwenda lupango na Riz1, Miraji, khalfani na wakwere wote utajisikiaje?
Kutokana na huyu mzee maarufu kwenye fani ya muziki kulamba kimada cha mkuu wa kaya, alibambikiziwa kesi ya kubaka na wanaye na matokeo yake kutupwa gerezani. Krismasi ya leo yupo rumande ilhali wakwere wamejazana ikulu wakicheza ngoma. Tunaomba mzee wa watu aachiliwe huru. Hauwezi kumnyima mtu haki yake ya msingi ya kuishi kutokana na tamaa yamwanamke. Tyari unao wanawake kibao na pia kuwazalisha maelfu, sasa kwa nini umuharibie mtu maisha yake?
Fikiria wewe kwenda lupango na Riz1, Miraji, khalfani na wakwere wote utajisikiaje?
Walawiti sehemu yao ni jela. Huyo babu Seya wako anastahili kuwa huko. Niliongea na watu walioendesha upelelezi wa huyu babu na wanasema ni kweli kabisa aliwalawiti wale watoto. Haiwezekani watoto wengi kiasi kile wamsingizie! Atumikie angalau miaka 20 ndio asamehewe!
Mie hii kesi ya Babu seya naona mnaelekea pabaya waungwana JK ameingia wapi? Kwani babu seya na wanae hawakufanya kosa?
Kutokana na huyu mzee maarufu kwenye fani ya muziki kulamba kimada cha mkuu wa kaya, alibambikiziwa kesi ya kubaka na wanaye na matokeo yake kutupwa gerezani. Krismasi ya leo yupo rumande ilhali wakwere wamejazana ikulu wakicheza ngoma. Tunaomba mzee wa watu aachiliwe huru. Hauwezi kumnyima mtu haki yake ya msingi ya kuishi kutokana na tamaa yamwanamke. Tyari unao wanawake kibao na pia kuwazalisha maelfu, sasa kwa nini umuharibie mtu maisha yake?
Fikiria wewe kwenda lupango na Riz1, Miraji, khalfani na wakwere wote utajisikiaje?
Ugonjwa wa kupenda usiulete hapa,wewe kama unampenda babu seya basi mapenzi yako hayawezi kuwa juu ya sheria.Huyu mpenzi wako watoto wake wamewafanyia unyama watoto wadogo wa shule mikanda ya ushenzi ilidakwa france kaletewa mkwere[nadhani akiwa bosi waforeign affairs],naye kaiwasilisha kwa pilato wkt wa ile kesi na hicho ndicho mkere amekuwa akihukumiwa nacho kuwa kamfunga babuseya,sasa wewe ulitaka akae na huo ushahidi nyumbani kwake.Acha kutupotezea muda stori za kwenye vijiwe vya gongo.Kutokana na huyu mzee maarufu kwenye fani ya muziki kulamba kimada cha mkuu wa kaya, alibambikiziwa kesi ya kubaka na wanaye na matokeo yake kutupwa gerezani. Krismasi ya leo yupo rumande ilhali wakwere wamejazana ikulu wakicheza ngoma. Tunaomba mzee wa watu aachiliwe huru. Hauwezi kumnyima mtu haki yake ya msingi ya kuishi kutokana na tamaa yamwanamke. Tyari unao wanawake kibao na pia kuwazalisha maelfu, sasa kwa nini umuharibie mtu maisha yake?
Fikiria wewe kwenda lupango na Riz1, Miraji, khalfani na wakwere wote utajisikiaje?