Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Jamani jamani chonde chonde tusitoe hisia au kuendeshwa na mapenzi binafsi kwenye mambo yanayoaffect maisha ya watu wengine...wengi ambao uchangia swala hili uangalia upande mmoja tu ebu tuwe rational kama kweli tunataka kutoa mitazamo ya kisomi kama great thinkers tuangalia watuumiwa na waathirika.
Swali nalokuuliza we mtoa mada na wengine mnaochangia mada..."je umeshasoma mwenendo wa kesi (proceedings) hiyo pamoja na hukumu zote tatu ya kisutu,high court na CA
Ebu soma hizo afu leta maoni yako na sio hisia.
Hata mimi nilikua na mitazamo tofauti mwanzoni hila baada ya kupitia hizo hukumu kwa kina nina mtazamo tofauti sasa
 
Tatizo la wabongo tunapenda kuhukum mambo kwa kutumia hisia na ushabiki HIV ni nan mwenye uhakika kwa asilimia Mia kwmba babu seya na nguza walisingiziwa? Hii yote inatokana na umaarufu wao kabla ya tukio hilo lait wangekuwa watu wa kawaida wala msingetokwa na povu kias hiki watanzania tumekuwa na huruma sna has kwa mtu am aye amefanya kosa kwel hii huruma yetu imeingia mpk kwny mfumo wetu wa sheria tht y unamuona lulu uraian huruma imefanya mpk mafisad kuachiwa au kufungwa kwa miaka midogo gerezan achanen na reference ambazo hazina mashiko tupen data za kutosha zioneshe kwel hawa jamaa walisigiziwa
 
Jamani leo tarehe 30 October 2013 kesi ya baby seya imesikilizwa upya. Hebu wadau tupeni mrejesho.
 
Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!
 
Mdau ndio maana mambo ya sheria waachie wanasheria...mtu anaongea hapa lakini haelewi hata kesi ilianzia wapi na ikaishia wapi.
Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!
 
Hivi ni nani hasa aliempa kesi babu seya na wanae mbona hamtaji/hamuwataji mnaishia kulalamika tu
 
Kitu kilichoniumiza sana ni pale Mwl aliyetajwa kuwa alikuwa anawapeleka watoto kwa Babu Seya kisha wakati akitoa ushahidi wake Mwl aliiambia mahakama kwamba kamwe asihusishwe kwenye mambo ambayo hajawahi kufanya kwani yeye ni mlokole na hajawahi kuona wala kuwapeleka watoto kwa Babu Seya. Mahakama ikamuona hana hatia ikamwachia huru. Swali kama kulikuwa na Mwl aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kwa Babu Seya ni Mwl yupi huyo kama huyu hakuwa na hatia japo mwanzo alionekana ndiye, tena aliiumbua mahakama kuwa hajawahi kusikia kitu kama hicho. Hospital watoto walipimwa ikaonekana hawajaingiliwa kwa vyovyote dokta akatimuliwa akaitwa mwingine kuandika PF3 kuwa waliingiliwa akafanya hivyo muziki usio na mchezaji ukaendelea.
 
Watu tunaropoka sana. Ukiambiwa ulete ushahidi kuwa babu seya alisingiziwa huna,unabaki kuokoteza maneno ya mitaani eti jk anahusika. Kina babu seya sio malaika mjue. Tunaongozwa na hisia tu. Kama kweli waliwabaka watoto.waozee huko huko ndani
 
embu tuambie zikoje... funguka!!
 
ooh, kumbe?? mimi sijui lolote ila nafsi yangu tu inaniambia wale wacongo wanaonewa. mtoto mdogo hawezi ingiliwa na mijitu mizima zaidi ya mmoja afu akaenda shule na mzazi asigundue
 
'hebu zishushe hapa mkuu wazione kiongozi.................where we dare to talk openly-JF'
 
Watu tunaropoka sana. Ukiambiwa ulete ushahidi kuwa babu seya alisingiziwa huna,unabaki kuokoteza maneno ya mitaani eti jk anahusika. Kina babu seya sio malaika mjue. Tunaongozwa na hisia tu. Kama kweli waliwabaka watoto.waozee huko huko ndani

SOMA ANGALAU HAPA

Kitu kilichoniumiza sana ni pale Mwl aliyetajwa kuwa alikuwa anawapeleka watoto kwa Babu Seya kisha wakati akitoa ushahidi wake Mwl aliiambia mahakama kwamba kamwe asihusishwe kwenye mambo ambayo hajawahi kufanya kwani yeye ni mlokole na hajawahi kuona wala kuwapeleka watoto kwa Babu Seya. Mahakama ikamuona hana hatia ikamwachia huru. Swali kama kulikuwa na Mwl aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kwa Babu Seya ni Mwl yupi huyo kama huyu hakuwa na hatia japo mwanzo alionekana ndiye, tena aliiumbua mahakama kuwa hajawahi kusikia kitu kama hicho. Hospital watoto walipimwa ikaonekana hawajaingiliwa kwa vyovyote dokta akatimuliwa akaitwa mwingine kuandika PF3 kuwa waliingiliwa akafanya hivyo muziki usio na mchezaji ukaendelea.
 
Ni kweli mkuu kwani kesi yenyewe ilihusisha watoto wa shule wa miaka 7 ambapo inasemekana Babu Seya na Watoto wake walijamiiana na hao watoto zaidi ya mara moja lakini cha ajabu wazazi hawakuweza....
Samahani, ningependa kujua, kwani walikutwa wapi halafu nani aliwaona kama mwenzagu unahabari kidogo kuhusu tetec hiyo.
 
Tuombe Mungu asaidie watoke na nafikiri itakuwa onyo kwa BABU SEYA kuto rudia tena KUCHUKUA WAKE ZA WAKUBWA.
 
Mkijadili mjue kuna mungu! baba na watoto watatu wote wafanye upuuzi huo, basi tumwombe mungu ashushe kisasi kwa anayetesa watu hawa, kama walihusika mungu awaumbue japo ni ngumu, wote tuseme aamen tumkabidhi mungu, hii ni dhulma na mungu atalipa tu kwani ndiye hakimu pekee mwadilifu.
 
Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!
Una hoja Mkuu, lakini mpaka kufika kijiweni hizo stories ni kwamba zilitoka mahali fulani kama tip/clue aalafu watu wakazileta kijiweni, kifupi kila lililopo kijiweni lina source mahali fulani. La maana katika kesi hii tuiachie mahakama itoe maamuzi, la sasa la kujiuliza ni kwanini kesi hii irudiwe mara zote hizi? hata kesi ile ya uhaini baada ya kufanyiwa maamuzi hatukuona rufani zikifuata ila hii tunaona hilo, pengine kuna kitu ndiyo maana hatupaswi kuhukumu sisi bali tuaache mahakama ifanye kazi yake.
 
Ingekuwa nchi za wenzetu huyu Mwalimu angekuwa MSHITAKIWA NAMBA MOJA, na siyo SHAHIDI kama ilivyokuwa hapa Tanzania. Nashangaa kifungu kilichotumika kumwachia mshakiwa huyu namba moja.
 
kwa hyo unaihisi hukumu yao ni halali?tupe data usitoke povu tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…