Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kwako naona, hata Nyerere alifariki kipindi cha Mwinyi.
Nyie watu mlioanza kufuatilia siasa juzi kati mnatusumbua sana.....ebu kaulize kwa wakubwa zako babu seya alifungwa enzi ya utawala wa nani
 
Ya kikwete(seya) ni ya kimapenzi lakini hii ya Magufuri(Lema) ni ya kisiasa.
Ukichunguza utagundua ni chuki wote hawa wana chuki sana.


Ya kimapenzi? Ikoje hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…