mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Sina million 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu seya amefungwa 2004 kipindi cha Mkapa
Kwako naona, hata Nyerere alifariki kipindi cha Mwinyi.Babu seya amefungwa 2004 kipindi cha Mkapa
Ya lema ni upumbavu wake
Seya nimakosa yakibinadamu
VizuriHata wewe kushabikia ccm ni upumbavu wako mweyewe
Hivi kwanini watu wambea na waongo babu seya kafungwa hata dr kikwete hajawa rais..........unalinganishaje na hali ya sasa ya mh.lemaBabu seya amefungwa 2004 kipindi cha Mkapa
Nyie watu mlioanza kufuatilia siasa juzi kati mnatusumbua sana.....ebu kaulize kwa wakubwa zako babu seya alifungwa enzi ya utawala wa naniKwako naona, hata Nyerere alifariki kipindi cha Mwinyi.
Yes babu seya kafungwa 2004 wakati wa utawala wa rais mkapaDuh.....ama kweli tuna shida sana na historia yetu
Yes babu seya kafungwa 2004 wakati wa utawala wa rais mkapa
Ya kikwete(seya) ni ya kimapenzi lakini hii ya Magufuri(Lema) ni ya kisiasa.
Ukichunguza utagundua ni chuki wote hawa wana chuki sana.
Kwan 2004 kikwete alikuwa mkulima wa nyanya au maboga?Yes babu seya kafungwa 2004 wakati wa utawala wa rais mkapa
Sio kweli 2004 ndio alikamatwa 2006 ndio alifungwa maisha ila ile kesi INA mkono wa mtu haikuwa huru kabisa ila nyie mahakimu Mungu anawaona!Babu seya amefungwa 2004 kipindi cha Mkapa
Lema upuuz wake umepmonzaHata wewe kushabikia ccm ni upumbavu wako mweyewe