Mimi toka mwanzo wa hii kesi na hata katika lile bandiko jingine la swali kabisa nilisema hivi Mel singirida hajaokoka. Huwez ukaokoa ukasema najinasua mm na wengine wajinasue wenyewe. Angesema ukweli kwamba Hali kutokea nililazimishwa afu tuone korti ingeamuaje. Sasa kama.alikuwa convicted afu baadae anakuwa cleared tayar kunatia mashaka sanamkuu,haiingii akilini kwa mwalimu Sigirinda Ngomboka kuachiwa bila hatia....walishindwa kumwadhibu kwa kuwa walijua wakimwadhibu ataanika yote hadharani kwa kuwa tayari alishawaambia kuwa hawezi kusema uongo kwa kuwa yeye amempokea YESU
Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu wanao Amin sana mahakama kwenye kusema ukweli. Lkn nikagundua kwamba ukweli unaosemwa mahakaman sio ukweli wa kimungu bali ni ukweli wa kiuhalisia.Guys ninarudia nimesoma faili zima. Jamaa walikuwa na hatia au niseme walikuwa wapumbavu kui9ngia kwenye mtego.
Kama ni mchongo waliingia kisawasawa. Naweza kuandika facts zaidi ila inategemea wewe una mtazamo upi.
Kumbuka hakimu anaangalia FACTS presented before him/her!!!! kuwa focused itakusaidia
Sawa kabisa na mm napenda ieleweke kuwa alienda kosa. Sasa mm ninachojiuliza vipi kuhusu mwl singirida aliyekuwa akiwapeleka hawa watt kwenye kuchukua pipi hizo na chocolate. Kwann hakimu mkazi alimuachilia bila kumpa adhabu yyte ile? Wakati yy ndiye àliye kuwa mtu wa kwanza kabisa kujua hilo na ambaye angewaokoa hap watt? Kumbuka hakuwa anapeleka wote kumi at per alikuwa anapeleka mmoja mmoja ama wawili.Hii kesi imenda kuanzia mahakama ya chini na mahakama kuu.
Hukumu ilitolewa na mhusika akata appeal ya kwanza mahakama kuu. Hapa alishindwa.
Akaenda Mahakama Ya Appeal nako akashindwa.
Juu ya kuwa mahakama zetu kuingiliwa lakini sio hivi mnavo dhani.
Mara nyingi mahakama kuu imekuwa ikijitahidi kutopendelea.
Pia Supreme court yetu ipo salama na hakuna mwenye uwezoo kuingilia.
Tuliona kesi ya Seif Sharif ya uhaini ....ni wazi state na system yote walitaka afungwe
wanasiasa walitumia nguvu zote kuhakikishs Seif anafungwa lakini mahakama ya Rufaa haikuyumbishwa.
Pia kuna mifano mingi kama kesi za valambia , mtikila ya mgombea huru..nk
Hivyo huyu haja onewa kuna kila ushahidi kuwa alibaka.
Ushahidi wa hospital na watoto wenyewe kumpa jina babu seya kwa pipi na chokoleti alizo kuwa akitoa.
Pia alikata Appeal EA court nako amekwama kwa sababu ushahidi uko wazi.
Basi hii familia yke ilikua familia ya kishenzi alistahili kifungo hichobaba angu alishiriki katika upelelezi wa hii kesi.anasema ktk interrogation na watuhumiwa walikiri kuhusika..anawashangaa watu wanavolichukulia hili swali kisiasa.
Walioachiwa labda mmoja ndio alikua Mwanafunzi ila mwingine (Nguza Mbangu) ni mkubwa kuliko Papii, na umri haukua sababu ya kushinda rufaa yaoJamaa hawakujua aliye nyuma ya hiyo kesi, wakawa wanatamba the first day wanamatwa na kupelekwa osterbay police, unajua ukishakuwa maarufu. Kifupi ni kweli kwamba waliwafanyia wale watoto huo mchezo.
Sasa wale wengine inasemekana walikuwa under age wakati wanatenda na pia kuhukumiwa na ndio maana wakaachiwa.
Ni kitu cha kawaida kwenye sheria! Ingekua hukumu inatakiwa ibaki vile vile kusingekua na haja ya kuwa na Mahakama ya rufaaBinafsi nilikuwa miongoni mwa watu wanao Amin sana mahakama kwenye kusema ukweli. Lkn nikagundua kwamba ukweli unaosemwa mahakaman sio ukweli wa kimungu bali ni ukweli wa kiuhalisia.
Hapa namaanisha kwamba mm nikiwa nimeenda kosa halafu nikawa mjuvi wa kucheka na logic basi mahakama inaweza kuniachia huru.
Toka nisome vitabu vya John grisham na Jeffery archer toka niwe natizama sana movie nimejifunza mambo mengi sana kwa upande wa Sheria.
Kwa mfano kuna movie moja ya "how to get away from murder" huyu prof Kaitlin ni hodari sana wa kusimamia watu na hatimaye wakshinda kesi. Na wapo wengine unakuta wametenda makosa kabisa lkn ana argue logically kwa vifungu Adi watueanasashinda kesi.
Kwa kufuatilia sana jinsi anavyowateteaga wateja wake nimegundua kwamba linawezekana kuplan conviction kwa mtu nje kabisa ya mahakama. Yaan unaplan kama mtu anayocheza chess vile ma draft afu ukipeleka mahakaman ww unakwenda tuu kuimalizia kwa kuisukuma kwa kidole.
Well wanaojua ukweli wa kwanini NGuza na mwanae wanakinywea kikombe hiki ni wao na Mungu peke yao sisi wengine wote hatujuii ukweli na hata mahakimi na majudge pia.
Ila kama kweli ninplanned conviction the truth shall be known one day. Ila na kama walifanya haya directly basi watubu sana manake hata iyo adhabu waliyopewa ni ndogo. Aisee....yaan
Halafu hivi kwann watt wa NGuza francis na mwenzie walitoswa kwenye first appeal ila kwenye second appeal wakawa cleared? Hakimu mzazi alishindwa kuona nini ila judge akaja kukiona?
Sawa kabisa na mm napenda ieleweke kuwa alienda kosa. Sasa mm ninachojiuliza vipi kuhusu mwl singirida aliyekuwa akiwapeleka hawa watt kwenye kuchukua pipi hizo na chocolate. Kwann hakimu mkazi alimuachilia bila kumpa adhabu yyte ile? Wakati yy ndiye àliye kuwa mtu wa kwanza kabisa kujua hilo na ambaye angewaokoa hap watt? Kumbuka hakuwa anapeleka wote kumi at per alikuwa anapeleka mmoja mmoja ama wawili.
Haya hakimu mkazi huyo huyo aliwaona akina francis nao ni wahusika, rufaa ya kwanza nayo ikawaona wanayoipata. Supreme Court ikaja ikaona hawana hatia ikawaachia huru.
Je nini ambacho hakimu mkazi,mahakama ya rufaa hawakuviona ila mahakama kuu ikaja kuviona?
Well sijui sheria na wala hata sijawah kusimama mahakaman ila nawaza tuu kwa akil yangu fupi.
Hebu siku poteza mud tizama.movie moja inaitwa house of cards
Kwa hiyo mwingine aliachiwa kwa grounds zipi?Walioachiwa labda mmoja ndio alikua Mwanafunzi ila mwingine (Nguza Mbangu) ni mkubwa kuliko Papii, na umri haukua sababu ya kushinda rufaa yao
Wote waliachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha!Kwa hiyo mwingine aliachiwa kwa grounds zipi?
Najiuliza tuchukulie kweli walitenda kosa kama mahakama ilivyoona, je kwa miaka hiyo waliokaa gerezani(nadhani ni zaidi ya kumi) jamii haijawasamehe kiasi wakiachiwa kwa msamaha wa Rais kuna ataelalamika? Kuna watu bado watakua hawana huruma kwa jamaa hawa? Muda wote waliokaa gerezani haujatosha kuwapa fundisho?
Inawezekana kwa wale watoto walio athirika wakaishi na msongo wa mawazo ya ukatili huo kwa muda mrefu kiasi lakini miaka zaidi ya kumi kwa kumuadhibu mtu kifungo jela sio inatosha na mtu anaweza kubadilika na kua raia mwema?
Binafsi naiona adhabu ya kifungo cha maisha ni ya ukatili na isiyofundisha kuliko hata adhabu ya kifo ambayo kwa duniani maumivu yake ni maramoja tu. Hivi ukimfunga mtu maisha utakua umemsaidia kubadilika? Hata hizi taasisi za kutetea haki za binadamu hawajawahi kutafakari jambo hili? Ni bora wangekatiwa kifungo hata cha miaka ishirini ambapo wanakua na matumaini siku moja watakuja kujumuika na binadamu wenzao uraiani wakiwa wametubu na kujifunza kuliko kujua na kuishi na uhalisia kwamba Dunia yako imeshafungwa na maisha yako hutaliona tena jua la matumaini ukiwa mtu huru, ni adhabu yenye kuogofya sana na haisaidii mtu kubadilika
Ndio maana nasema hivi ili kumtia mtu hatiani huitaj ukweli bali unahitaj kuwa mjuvi wa kucheza na logics tuuWalioachiwa labda mmoja ndio alikua Mwanafunzi ila mwingine (Nguza Mbangu) ni mkubwa kuliko Papii, na umri haukua sababu ya kushinda rufaa yao
Alafu kuna tetesi kilichowamaliza ni watoto kukutwa HIV positive na watuhumiwa hivyo hivyo na ndio maana hata Wakili wao Marando ni mwanaharakati lakini hajawahi kusikika anataja kama kuna mashinikizo, Kuna kipindi Rev Mtikila alitaka kuinunua kesi kuwapigania akapotea ghafla nadhani alivyoona ushahid akabonyeaWatu mnasikitisha sana kuwaonea huruma wapuuzi hao kwasababu ya stori za kwenye kahawa.
Mkuu, hebu vaa viatu vya wazazi wa watoto waliofanyiwa huo unyama na ushetani uangalie kama unaweza kuandika ulichoandika hapa!
Na ndio kilichofanya Mwalimu aachiwe ni kama Zombe issue zao zinafanana waendesha mashtaka walitaka kuwaunganisha na watenda kosa badala ya kuwapa kesi za kushiriki au kuwezesha jinai kutendeka! Wakili anaweza akachomoa mtu hata aliyekutwa anafanya tukio inatakiwa ushahidi uwe beyond reasonable doubtsNdio maana nasema hivi ili kumtia mtu hatiani huitaj ukweli bali unahitaj kuwa mjuvi wa kucheza na logics tuu
Naomba kuuliza je inawezekana mtu uka hire lawyer toka nje ya mpaka wa nchi yako? Like mtanzania ndani ya Tz anaruhusiwa ku hire lawyer nje ya mipaka ya Tz?Hukumu za kesi pia ukumbuke inategemea na umahiri wa wakili wako.
Mawakili wanaweza kutwist hata kama ulikua na kosa ..hii imetokea mara nyingi.
Hivyo hao walimu walipenyea hapo, weakness ya mahakama na umahiri wa wakili.
Kesi ya OJ Simpson ya kwanza ya kuua mke wake....ni dhaniri huyu jamaa ali mchinja mke wake lakini mawakili waliweza kuichanganya mahakama kwenye gloves ..na akatoka
Lakini huyo huyo kesi ya madai ilofunguliwa na wazazi wa mke wake ya kuwa alikua responsible na kifo cha mtoto wao alishindwa na akafilisiwa kulipa fidia.....
Mm ishu ya watt kuwa HIV + si ya msingi. Manake kama ni planned ni rahisi sana kupata watt ambao ni wahanga na ukawa train and all that.Alafu kuna tetesi kilichowamaliza ni watoto kukutwa HIV positive na watuhumiwa hivyo hivyo na ndio maana hata Wakili wao Marando ni mwanaharakati lakini hajawahi kusikika anataja kama kuna mashinikizo, Kuna kipindi Rev Mtikila alitaka kuinunua kesi kuwapigania akapotea ghafla nadhani alivyoona ushahid akabonyea