Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Mimi nitakua wa pili kutoka mwisho.. Yaani ukiamini wewe Mimi ndiyo nitafuatia.
Mimi mkishaamini wote ntakuwa wa mwisho yenu mtanipigia simu baba na mwana wanaimba na kucheza lakini baba na mwana hawawezi baka pamoja
 
Aliye ahidi kuwaachia na aliyetimiza ahadi hiyo mada hii haina tatizo nao.
Swali hapa ni jepesi tuu, kwa nini tunashangilia? Ni eitha hukumu ile ilikuwa ya uonevu au hukumu ile ilikuwa halali Ila sisi hatujitambui ndio maana tunashangilia!
 
jaribu kutofautisha kati ya mtu kushangilia kutokana mapenzi juu ya mtu na kushangilia kutokana na kitendo alichokifanya mtu. hawafurahii kwa vitendo alivyofanya lakini wengi wanafurahia kutokana na mapenzi waliyonayo kwa mtu huyo.
 
Ndugu Chakaza hii ishu ya kesi ya akina babu Seya ilishajadiliwa sana humu. Tuseme wazi tu kesi yao kwa kiasi kikubwa ina kila dalili za kubambikiwa na ndio maana pengine jamii imefurahi kuona wameachiwa huru.
mkuu naomba niweke nakala ya hukumu ,utaona kuwa jamaa hawakuonewa hukumu ilikuwa sahii kabisa
 
Attachments

mkuu Chakaza hebu pitia hii hukumu utapata jibu
 
Attachments

Aliye ahidi kuwaachia na aliyetimiza ahadi hiyo mada hii haina tatizo nao.
Swali hapa ni jepesi tuu, kwa nini tunashangilia? Ni eitha hukumu ile ilikuwa ya uonevu au hukumu ile ilikuwa halali Ila sisi hatujitambui ndio maana tunashangilia!
Lakini sitaki kuamini kuwa rais kakurupuka katika hili,najua ana vyanzo vya habari vya uhakika hivyo atakuwa aliambiwa kuwa hilo jambo lilikuwa na figisu ndani yake ndio maana kaamua kulihitimisha hivyo.
 
Yote 9, 10 NGUZA NA PAPII KOCHA WAJIEPUSHE KABISA NA MEDIA WASIPO ANGALIA WATALISHWA MANENO YASIYO TOKA MIDOMONI MWAO , MATOKEO YAKE YATAKUWA MABAYA KWAO NA JAMII KWA UJUMLA!
 
Ndugu Chakaza hii ishu ya kesi ya akina babu Seya ilishajadiliwa sana humu. Tuseme wazi tu kesi yao kwa kiasi kikubwa ina kila dalili za kubambikiwa na ndio maana pengine jamii imefurahi kuona wameachiwa huru.
watoto kumi kubakwa kwa siku tofuti tofauti na familia moja baba, mtoto ,mtoto harafu watu yaani majirani na watu wanaowazunguka {marafiki} wasijue mpaka serikali ijue duuuuuuh
 
Kwani Ben Saanane mmampeleka wapi? Kama mnaweza kusingizia kwamba Binadamu xyz amekufa na kuitangazia Dunia nzima kwamba ameuliwa na kwenda sijui kuibua miili baharini na kuchimbua makaburi ili kusema kwamba ni Ben Saanane ndiyo ameuliwa kumbe mmeficha, iweje ushangae mtu kufungwa kwa kosa ambalo hakulifanya? evil begets evil, na chadema na ni evil!
 
Hoja za kuwa walikuwa framed, pia zilitupwa na mahakama (ya rufaa). Hawakutaja aliyewaframe wala kuweza kutoa ushahidi kusupport hilo. Hii kwa namna fulani inaondoa kuaminika kwa ile minong'ono ya kuwa ati "namba moja" aliyepita alikuwa analipiza kisasi.
 
Asante Bob,umenisaidia mambo mengi.

Aisee hao marry mbunki na isabela sasa hv ni videmu viko on fire kamoja kamemsliza mzumbe ,ni mzuri hatari ,jamaa yake aliyekua anamla anasema hakuna kitu kama hicho ila dogo ni fundi sn kitandani japo jamaa kaoa lkn haachi kwa huo mchepuko
 
mkuu naomba niweke nakala ya hukumu ,utaona kuwa jamaa hawakuonewa hukumu ilikuwa sahii kabisa
Mkuu hukumu haikuwa na tatizo wala mahakama haikuwaonea kwa sababu ushahidi uliotolewa mahakamani ulitosheleza kuwatia hatiani. Ila ishu ni kwamba kesi ilipikwa na ushahidi pia ulipikwa kiasi kwamba mahakama isingeweza kutowatia hatiani.
 
Leo unasemaje
 
Aisee hao marry mbunki na isabela sasa hv ni videmu viko on fire kamoja kamemsliza mzumbe ,ni mzuri hatari ,jamaa yake aliyekua anamla anasema hakuna kitu kama hicho ila dogo ni fundi sn kitandani japo jamaa kaoa lkn haachi kwa huo mchepuko
Huyooo manzi nae alikua muhanga wa tukio..!??? Anasemajeee yeye kweli alibakwaa au..
 
Huyooo manzi nae alikua muhanga wa tukio..!??? Anasemajeee yeye kweli alibakwaa au..

Mkuu habar nyepesi nyepesi ni kua watoto wote wale wamelamba ajira nzuri tu japo wengine hawakua vizuri class na GPA za 2.7 so kutoa ushirikiano ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…