Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?


..vyote.

..ni tatizo WABAKAJI kuwa wanachama wa CCM.

..ni tatizo kutumbuiza mawaziri, wabunge, na watoto, waliokuwepo kwenye shughuli ile.

..ni tatizo kwa mbakaji kuachiwa ktk mazingira haya. huwezi kuachia mbakaji halafu ukamkaribisha ikulu.

..mambo haya yanaichafua Tanzania.
 
Unadhani hao uliowataja hawakuwa na uchafu/ dhambi? Hakuna mkamilifu, tusamehe na kusahau, ili maisha yaendelee.

..R u serious?

..unajua unyama waliofanya hawa mabwana ni zaidi ya unyama wenyewe.

..umewahi kuona Jogoo akamshambulia kinyume kifaranga?

..walichokifanya Babu Seya na Papii hata wanyama hawafanyi.
 

Unafaham lakini hawa walisingiziwa hii kesi na huyo favorite past leader wako, au unadhani hayo makelele yote ya wananchi wakitaka hawa watu waachiwe ni wendawazimu. Wewe huenda ikawa ni mhamiaji hufaham vizuri story ya hawa wanamuziki na kesi yao hadi kufungiwa.
Tanzania tokea lini imeshakuwa safi kwenye macho yako tokea Magufuli aingie madarakani, unajifanya unapenda usafi wake wakati upo na interest zako.
 

..Really?

..kwenye nchi za wenzetu kuna wafungwa walikuwa kwenye "death-row," wanasubiri kunyongwa, lakini DNA evidence ikaja ku-prove hawana hatia.

..wafungwa hao waliachiwa huru, na ikaelezwa kuwa walionewa, na zaidi WALILIPWA FIDIA.

..kwa hiyo kama Babu Seya na mwanae walionewa basi muwe na ujasiri wa kuwataja wote waliohusika na dhuluma hiyo.

..vilevile serekali iwalipe FIDIA kwa kufungwa kimakosa. huko ndiyo kutenda HAKI.
 
Mtanzania ataendaje kenya kumuombea kura Kenyata? Cdm mnasahau sana huyu mamvy wenu.

..mbona Magu alienda kumpigia kampeni Odinga?

..tena bila kujali itifaki kuwa viongozi wa serekali hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani za mataifa mengine.
 
..mbona Magu alienda kumpigia kampeni Odinga?

..tena bila kujali itifaki kuwa viongozi wa serekali hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani za mataifa mengine.
Kwani wa upinzani ndo wanatakiwa kujihusisha na siasa za nchi nyingine?
 
Yaani Mkuu umeongea pasipo kupepesa macho, ni ngumu sana mtu mmoja kutoa hongo kwa wote hao. Hongo kama hizo angeweza mwanadamu mmoja tu duniani na ameshakufa tayari, kulikuwa na mtu anaitwa 'Pablo Emilio Escobar Gaviria', huyu mtu alikuwa ni hatari.
 
Yaani Mkuu umeongea pasipo kupepesa macho, ni ngumu sana mtu mmoja kutoa hongo kwa wote hao. Hongo kama hizo angeweza mwanadamu mmoja tu duniani na ameshakufa tayari, kulikuwa na mtu anaitwa 'Pablo Emilio Escobar Gaviria', huyu mtu alikuwa ni hatari.
Mkwere unamjua?!

Hakuna lisilowezekana chini ya jua hasa ukiwa na pesa/beysa/money...+ Na mamlaka..

Mwenye kisu ndio aliyekosewa... ...anacheka huku anafufuta...

Watoto wote hao walawitiwe kwa foleni..na mwalim aliyekuwa anawaleta wala hakufungwa... ..

Cheza na mwenye mali ila sio mali yake...
 
Ccm ya sasa hata hao wenye kusimamia misingi ya chama wamejitenga nayo kutokana na aina ya siasa za kishamba zinazofanywa na Jpm na Chakubanga.

Huo msamaha wa hao wabakaji unaonekana ulikuwa na malengo ya kisiasa nyuma yake
Kweli Kila zama na Kitabu chake! Chakubanga kapoa sana.
 
Ngumu sana kuamini hizo tuhuma.Yaani mdada amwache mkwere aende kwa babu seya kisa?? Amelogwa ama?

Pili hawa watoto kumi na waote walipimwa na dakatri na wote wametoa ushahidi wa aina ile ile ya ufiraumi waliofanyiwa...
 
List ya watoto(now ni watu wazima) waliofanyiwa ubakaji na babu sea (kama ni kweli) wapo wapi..?


Alicia Longino
Rehema Mgweno
Juliet Mbank
Dei Jaffari
Yasinta Mbele
Agnesta Sia
Amina Shomari
Gift Kipwapwa
Isabella Angomile
Agnesta Sia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…