lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Inasikitisha sana jinsi baadhi ya watanzania ni wepesi wa kuchukua hadithi za vijiweni na kuziamini kuwa ni za kweli..Alafu kuna tetesi kilichowamaliza ni watoto kukutwa HIV positive na watuhumiwa hivyo hivyo na ndio maana hata Wakili wao Marando ni mwanaharakati lakini hajawahi kusikika anataja kama kuna mashinikizo, Kuna kipindi Rev Mtikila alitaka kuinunua kesi kuwapigania akapotea ghafla nadhani alivyoona ushahid akabonyea
Inasikitisha zaidi jinsi wanavyolialia na kujifanya wenye haki na kwamba wameonewa