hakuna namna sikio linaweza kuzidi kichwa gentlemanMimi mbona kama sielewi hii nchi inavyoendeshwa! Mbona uonevu unazidi!?

Mimi mbona kama sielewi hii nchi inavyoendeshwa! Mbona uonevu unazidi!?
Uchaguzi bila CHADEMA utakuwa uchaguzi usio na msisimko Wala ushindani
Sio mda kamdomo haka katakana,hakuna namna sikio linaweza kuzidi kichwa gentleman![]()
Nani kazuia Chadema kufanya Siasa?
Yanayoendelea yanazidi kuijenga chadema na kuonesha uozo wa vyombo vyetu katika kutoa haki. Haya yote yanapigilia msumari juu ya kauli ya Rostam Aziz kipindi flani kuhusu vyombo vyetu vya utoaji wa haki.Mimi mbona kama sielewi hii nchi inavyoendeshwa! Mbona uonevu unazidi!?
Kuzuia uongozi haimaanishi kuzuia ChamaMahakama
Kwakua nchi inaendeshwa na Wapumbavu, waliokata tamaa na wanaojiona wamefika, time will tell.Mimi mbona kama sielewi hii nchi inavyoendeshwa! Mbona uonevu unazidi!?
Utakuwa uchaguzi wa hovyo kuwahi kutokeaMkuu kitaa kumebuma ,hakunamwenye mzuka wakupiga kura ,wazee washapigwa onyo na watoto zao, wanawake washatulizwa na waume zao hizo kura labda wakajipigie wenyewe .
Raha ya Uchaguzi ni zile shamrashamra za vijana ,tutaelewana tu mwakahuu.