Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Polepole Humphrey kasema HAKI ni bidhaa adimu kwa sasaHaya mambo ya miungano na Zanzibar yataendelea kuwachelewesha sana waTanganyika.
Huyu si amekuwa makamu mwenyekiti wa Mbowe miaka yote ?!. Kipindi hicho hakuona kasoro anazoziona leo !! Muungano wa kipuuzi sana huu.
Na hata mahakama zetu nazo zinatumika politically.