Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
WAZO JEMA, LAKINI HIYO HAWAWEZI KURUHUSU MAANA SAMIA ANASHITAKIWANashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao.
Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
Ushaanza kutoa maagizo kma lissu eeh.ukisukumwa usije lalamika 🤣Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao.
Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
Kwani ishafunguliwa hiyo kesi?Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao.
Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
ataifuta kwani yakeDPP ataifuta, haitafika popote sababu kuu ni kwamba haina maslahi ya umma.
Hiii ndiyo Tanganyika na hii ndiyo mifumo yetu ya utawala.