Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.
Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.
Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.
Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!
N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.
Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM