Kesi ya Halima Mdee na Wenzake 18 leo Machi 9, Dkt. Azavel Lwaitama kuhojiwa Mahakamani

Usichofahamu ni Malaya tabia yake ujificha ila uumbuka mbele.

Mliwananga sana Akina Lipumba na Mbatia wakitafuta maridhiano leo hii aibu zimewashika na Mama alivyo mkaksi kapiga kwenye mwaliko haoni sura ya kushika dola mmejiinamia kama fisi
Sikudhani kuwa ukoo wa Massawe kuna majuha! Sasa maneno ya utani ya Samia wewe kwako imekuwa hoja ya kulala nayo?
Mbona alipoambiwa watamtoa 2025 huja quote? Mbulula ni shida sana kuwaelewesha
 
Hii kesi wala haikutakiwa iwepo. Uthibitisho tu wa chadema kwamba imewafukaza uanachama ulitosha bunge kuwatema. Sema tu mizengwe/mizungu ya hawa forgers na serikali ndio inasumbua na kusababisha matumizi ya mamilioni ya umma ovyo.
Hiyo 800 waliyochukua chadema kama Ruzuku wamepewa kwa sababu ya hawa 19 walioko bungeni,na nna uhakika kama wakiamua kutoka bungeni hiyo ruzuku lazima irudishwe mpka uchaguzi ujao.....Nnavyomjua mbowe hawezi pishana na hela....Wataendelea kubaki tu mpka 2025.
 
Weledi ni nini ? unataka niandike kwa kumpamba Halima Mdee na wasaliti wenzake ili nionekane naandika kwa weledi ? hivi ndivyo unavyotaka ?

Niko tayari kupokea ushauri lakini si ushauri huo wako , halafu kingine ni hiki , hatuandiki JF ili kufurahisha yoyote , sheria za jf tunazijua , hatutukani watu , bali kwetu nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe .
Ruzuku ya akina Halima imetoka, na sisi online warriors tutapata mgao?
 
Angalia hiyo habari yako ulivyoiandika kiudaku udaku jaribu kuwa unaleta habari kama reporter wa CHADEMA humu JF
Relax mkuu aliyekuambia mtoa hoja ni reporter wa CDM humu ni nani?,stop poking your noise usikotakiwa
 
Usichofahamu ni Malaya tabia yake ujificha ila uumbuka mbele.

Mliwananga sana Akina Lipumba na Mbatia wakitafuta maridhiano leo hii aibu zimewashika na Mama alivyo mkaksi kapiga kwenye mwaliko haoni sura ya kushika dola mmejiinamia kama fisi
Unajua unatatizo la kuzaliwa vichakani na akili umeziacha huko huko ,nikueleweshe kidogo Mimi niliyezaliwa hospitari mh rais Samia aliongea kama utani kwamba chadema wasiweke Mgombea uras kwani yeye yupo Sasa hili ataelewa aliyezaliwa hospitari ni ngumu kwako wewe uliyezaliwa polini. Fo
 
Hiyo 800 waliyochukua chadema kama Ruzuku wamepewa kwa sababu ya hawa 19 walioko bungeni,na nna uhakika kama wakiamua kutoka bungeni hiyo ruzuku lazima irudishwe mpka uchaguzi ujao.....Nnavyomjua mbowe hawezi pishana na hela....Wataendelea kubaki tu mpka 2025.
Wewe huelewi kitu hiyo ruzuku inatokana na kura za mgombea urais wa chadema. Kipindi cha lowasa chadema walikuwa wanapata ruzuku kubwa kwa vile walipata kura nyingi. Kwa sasa ni kidogo ila kama hao wabge 19 wanatokana na hizo kura basi ni haki kisheria pesa zao ziende kwenye chama husika iwe wamewekwa na serikalu au chama. Wanaweza wasipate hata mbunge lakini mgombea wa urais akipata kura zaidi ya 25% kama sijakosea ruzuku kwa chama na wabunge wa viti maalum ni haki yao kikatiba na sheria ya uchaguzi.
 
Hiyo 800 waliyochukua chadema kama Ruzuku wamepewa kwa sababu ya hawa 19 walioko bungeni,na nna uhakika kama wakiamua kutoka bungeni hiyo ruzuku lazima irudishwe mpka uchaguzi ujao.....Nnavyomjua mbowe hawezi pishana na hela....Wataendelea kubaki tu mpka 2025.
Tutaendelea kufundisha mbumbumbu hadi muelewe , jf imekuwa kama kokoro imebeba matakataka mengi sana ! Ni hivi , Ruzuku za vyama vya siasa haitokani na wabunge wa viti maalum
 
sasa kama imeisha haya ya kuhojiwa Dr Lwaitama yanatoka wapi ?
Umeuliza swali zuri sana,
jibu ni kwamba ili kukamilisha mchakato na taratibu za kimahakama hivyo ionekane Rais hakuiingilia mahakama kumbe usanii mtupu.
 
Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.

Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.

Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.

Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!

N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.

Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
Huna hoja chawa wewe
 
Hiyo 800 waliyochukua chadema kama Ruzuku wamepewa kwa sababu ya hawa 19 walioko bungeni,na nna uhakika kama wakiamua kutoka bungeni hiyo ruzuku lazima irudishwe mpka uchaguzi ujao.....Nnavyomjua mbowe hawezi pishana na hela....Wataendelea kubaki tu mpka 2025.

..ruzuku haitokani na wabunge wa viti maalum.
 
Umeandika kibaguzi, Kuna wakati mtu mpuuzi kuficha uppuzi wake ni jambo la mhimu. Kumbe wewe kuajiriwa na serikali ni hisani sio elimu yako? Pathetic.
 
Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani.

Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel watahojiwa.

Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi.
Mbona hakuna taarifa zaidi? 🤣
 
Hiyo 800 waliyochukua chadema kama Ruzuku wamepewa kwa sababu ya hawa 19 walioko bungeni,na nna uhakika kama wakiamua kutoka bungeni hiyo ruzuku lazima irudishwe mpka uchaguzi ujao.....Nnavyomjua mbowe hawezi pishana na hela....Wataendelea kubaki tu mpka 2025.
Ndio maana huwa nasema ccm imefuga nguruwe ambao ndio hutegemewa kuwapambania mitandaon ona sasa hii aibu mtu hajui hata utaratibu wa ruzuku halafu naye eti anajadili ruzuku ya chadema aiseeee hii ni hatari.
 
Back
Top Bottom