Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wasaliti na Mamluki hawana jina lingineWewe ni Mtu muhimu sana kwenye Chama na hapa JF katika kutoa taarifa nakuomba jifunze kuandika habari zako kwa weledi punguza kuandika habari zako kiswazi swazi.
Wewe nilishakuweka kwenye Ignore list imekuwaje nakusoma huku tena ?Ruzuku mmebeba ila zao lingine la Uchaguzi mmelikimbia[emoji1787]
Wanafiki bana…
Ucahguzi wa 2020 mlisema ni feki ma sio uchaguzi na kura za urais ilikua feki sasa mnapokeaje ruzuku ya zuluma[emoji1787]
Angalia hiyo habari yako ulivyoiandika kiudaku udaku jaribu kuwa unaleta habari kama reporter wa CHADEMA humu JFWasaliti na Mamluki hawana jina lingine
Maridhiano ni KUHESHIMU KATIBA...na Utawala boraNikajua maridhiano yameshapenya hadi huku kumbe bado!!?
kuna wajinga wa uvccm na sukuma gang juz walijaza server ya jf kuwa wale malaya 19 wangehudhuria mkutano wa jana cha kushangaza wote wametoweka hakuna hata mmoja aliyeleta mrejesho juu ya kuhudhuria kwao hao malaya na leo DR. PhD LWAITAMA anawagalagaza maana hao mawakili wa hao malaya maswali yao ni predictable so it will be enjoyable to answer.Nikajua maridhiano yameshapenya hadi huku kumbe bado!!?
Mkuu, umepewa asali ya Tabora au Singida?kuna wajinga wa uvccm na sukuma gang juz walijaza server ya jf kuwa wale malaya 19 wangehudhuria mkutano wa jana cha kushangaza wote wametoweka hakuna hata mmoja aliyeleta mrejesho juu ya kuhudhuria kwao hao malaya na leo DR. PhD LWAITAMA anawagalagaza maana hao mawakili wa hao malaya maswali yao ni predictable so it will be enjoyable to answer.
Hiyo Ruzuku kwani wameiomba? Kuna wakati uliwasikia wakiidai hiyo ruzuku? Nenda kamuulize anaye wawekea kwenye account yao.Ruzuku mmebeba ila zao lingine la Uchaguzi mmelikimbia[emoji1787]
Wanafiki bana…
Ucahguzi wa 2020 mlisema ni feki ma sio uchaguzi na kura za urais ilikua feki sasa mnapokeaje ruzuku ya zuluma[emoji1787]
hao malaya nenda kawape ubunge nyumban kwenu, na ruzuku itachukuliwa na huna cha kufanya ukikereka kufa wakakuzike chato.Ruzuku mmebeba ila zao lingine la Uchaguzi mmelikimbia[emoji1787]
Wanafiki bana…
Ucahguzi wa 2020 mlisema ni feki ma sio uchaguzi na kura za urais ilikua feki sasa mnapokeaje ruzuku ya zuluma[emoji1787]
Perembele nyiingii, eti kalelewa na serikali. Kwani alikua ni mfungwa huyo hadi useme amelelewa na serikali.Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.
Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.
Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.
Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!
N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.
Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
Naona unaandika mpaka yusuuuuf anatoka kwenye ekzostiPerembele nyiingii, eti kalelewa na serikali. Kwani alikua ni mfungwa huyo hadi useme amelelewa na serikali.
Unataka ajenge nursery, kwani hilo ni jukumu lake?
Hata wasio na vichwa hawawezi kutumbuka utumbo kama wewe
Hata haichekeshiNaona unaandika mpaka yusuuuuf anatoka kwenye ekzosti
Vipi ulaji wenu kupitia kuuwa na kuteka watu umekatika ndio maana mnakereka na bado kufikia 2025 mtakuwa mmekufa kwa sonona.Mkuu, umepewa asali ya Tabora au Singida?
Unataka kucheka? May be wewe ndio yule afande wa kizanzibari umeanza mambo yakoHata haichekeshi
Sawa sawa. Tupo hapa hapa anaposoma Mama.Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi