Kesi ya Halima Mdee na Wenzake 18 leo Machi 9, Dkt. Azavel Lwaitama kuhojiwa Mahakamani

Shukrani saaana
 
Wewe ni Mtu muhimu sana kwenye Chama na hapa JF katika kutoa taarifa nakuomba jifunze kuandika habari zako kwa weledi punguza kuandika habari zako kiswazi swazi.
Huyu ni kiazi mbatata

USSR
 
Hii kesi wala haikutakiwa iwepo. Uthibitisho tu wa chadema kwamba imewafukaza uanachama ulitosha bunge kuwatema. Sema tu mizengwe/mizungu ya hawa forgers na serikali ndio inasumbua na kusababisha matumizi ya mamilioni ya umma ovyo.
 
Angalia hiyo habari yako ulivyoiandika kiudaku udaku jaribu kuwa unaleta habari kama reporter wa CHADEMA humu JF
Mimi siyo ripota wa Chadema , Ni ripota wa kujitegemea ninayeripoti habari hapa JF
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Ruzuku mmebeba ila zao lingine la Uchaguzi mmelikimbia[emoji1787]

Wanafiki bana…

Ucahguzi wa 2020 mlisema ni feki ma sio uchaguzi na kura za urais ilikua feki sasa mnapokeaje ruzuku ya zuluma[emoji1787]
Punguza ujuha basi kama hujui uliza COVID 19 na ruzuku wapi na wapi
 
Mshahara aliokula Lwaitama hakuwa hisani , ulikuwa halali yake
 
@johnthebaptist & Co
 
Mimi siyo ripota wa Chadema , Ni ripota wa kujitegemea ninayeripoti habari hapa JF
Sijawahi kuona ukiripoti habari za ACT Wazalendo, CUF, TLP zaidi ya CHADEMA , Mimi ombi langu uwe unaandika kwa weledi tu hizo habari zako itapendeza sana
 
Punguza ujuha basi kama hujui uliza COVID 19 na ruzuku wapi na wapi

Usichofahamu ni Malaya tabia yake ujificha ila uumbuka mbele.

Mliwananga sana Akina Lipumba na Mbatia wakitafuta maridhiano leo hii aibu zimewashika na Mama alivyo mkaksi kapiga kwenye mwaliko haoni sura ya kushika dola mmejiinamia kama fisi
 
Sijawahi kuona ukiripoti habari za ACT Wazalendo, CUF, TLP zaidi ya CHADEMA , Mimi ombi langu uwe unaandika kwa weledi tu hizo habari zako itapendeza sana
Weledi ni nini ? unataka niandike kwa kumpamba Halima Mdee na wasaliti wenzake ili nionekane naandika kwa weledi ? hivi ndivyo unavyotaka ?

Niko tayari kupokea ushauri lakini si ushauri huo wako , halafu kingine ni hiki , hatuandiki JF ili kufurahisha yoyote , sheria za jf tunazijua , hatutukani watu , bali kwetu nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe .
 
Usichofahamu ni Malaya tabia yake ujificha ila uumbuka mbele.

Mliwananga sana Akina Lipumba na Mbatia wakitafuta maridhiano leo hii aibu zimewashika na Mama alivyo mkaksi kapiga kwenye mwaliko haoni sura ya kushika dola mmejiinamia kama fisi
Kwamba mamayenu aliposema haon sura ya kushika dola kichwa chako kikafurahi aisee kumbe kichaa aliyezoea kula ugali wa mtama mwekundu mpe tonge hata mbili za ugali wa mahindi ndo utajua kama anang'amua hata kitu chochote kwenye hii dunia, by the way wewe mbulumbulu kasikiluze ile hotuba yote kuanzia alipisema kua haon mtu sura ya kushika dola mpaka alipomalizia hio statement. Tukiwambia nenden shule mmebaki makirido ya lumumba kuandika nyuz za kijinga kwa buku saba shauri yenu mtazeeka na ujinga wenu.
 
Usichofahamu ni Malaya tabia yake ujificha ila uumbuka mbele.

Mliwananga sana Akina Lipumba na Mbatia wakitafuta maridhiano leo hii aibu zimewashika na Mama alivyo mkaksi kapiga kwenye mwaliko haoni sura ya kushika dola mmejiinamia kama fisi
Siasa sio Chuki , Acha kuwe na maridhiano na Wapinzani wakisimama majukwani tuone wataongea nini sio tena kulalamika wananyanyaswa na Polisi na vyombo vya Usalama. Muda mwingine jaribe kutumia akili yako vizuri basi hivi wewe ulikuwa unataka kifanyike kipi?, Mbona hauna jema wewe kiumbe?
 
Toka safar za Mbowe kwenda ikulu zilivyoanza na kesi ndipo ilipoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…