Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
uyu kidudu mtu alisababisha watu wakafukuzwa kazi kwa kuwatoa kwenye luninga wakibwia rushwa kumbe yeye ni mla rushwa mama mia, hata kesi yake ile ametoa rushwa tu ndo maana jamaa wamemkomalia kwenye rufaa lazima akanyeee debe...na mkewe akiwa nje analiwa uroda.Alaa sasa kama unachuki zako sasa hapa unataka kutuaminisha chuki sisi za kazi gani? Kwani huna namba yake ukampigia?