Katojo Kajelengese
Member
- Feb 7, 2018
- 23
- 35
Ndugu wananchi wa Nchi hii nzuri ya Tanzania, napenda kuwaalika watalaam wa sheria -Learned Fellows kutusaidia sisi wanafunzi wa fani ya Sheria kuhusu Doctrine ya presumptions of innocence dhidi ya Sugu na Mwenzake.
Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ya 1977, kila mtu anazaliwa huru na atahesabiwa yupo huru hadi pale ambapo chombo cha kutoa haki - Mahakama itamkuta na hatia baada ya due process ya utoaji haki kufuatwa, sasa hili la Mbunge wa Mbeya Mjini kuwekwa Rumande kwa ulinzi wake----- hoja ambayo sio ya kisheria wala kimantiki inaweza kuharibu image nzuri ya mahakama zetu. Hivi kwa mfano kama RM atafanya kitu kama hiki halafu ije iwe precedent mbaya kwa watoto wetu itakuwaje?
Nawaalika Jf members hasa mawakili na wanasheria wenye mapenzi mema kwa Taifa letu kutujuza Je huyu hakimu anatumia sheria ipi ambayo Mahakama zingine hapa Tanzania haziitumii"?
Kesi ya sugu ina dhamana na wala haionekani kama ina jitosheleza; ni kama watu wamejipanga kwa nia mbaya - Mens reas.
Karibuni kwa kutoa elimu murua juu ya haki ya dhamana na presumption of innocence