Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na presumptions of innocence

Joined
Feb 7, 2018
Posts
23
Reaction score
35
Ndugu wananchi wa Nchi hii nzuri ya Tanzania, napenda kuwaalika watalaam wa sheria -Learned Fellows kutusaidia sisi wanafunzi wa fani ya Sheria kuhusu Doctrine ya presumptions of innocence dhidi ya Sugu na Mwenzake.

Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ya 1977, kila mtu anazaliwa huru na atahesabiwa yupo huru hadi pale ambapo chombo cha kutoa haki - Mahakama itamkuta na hatia baada ya due process ya utoaji haki kufuatwa, sasa hili la Mbunge wa Mbeya Mjini kuwekwa Rumande kwa ulinzi wake----- hoja ambayo sio ya kisheria wala kimantiki inaweza kuharibu image nzuri ya mahakama zetu. Hivi kwa mfano kama RM atafanya kitu kama hiki halafu ije iwe precedent mbaya kwa watoto wetu itakuwaje?

Nawaalika Jf members hasa mawakili na wanasheria wenye mapenzi mema kwa Taifa letu kutujuza Je huyu hakimu anatumia sheria ipi ambayo Mahakama zingine hapa Tanzania haziitumii"?

Kesi ya sugu ina dhamana na wala haionekani kama ina jitosheleza; ni kama watu wamejipanga kwa nia mbaya - Mens reas.

Karibuni kwa kutoa elimu murua juu ya haki ya dhamana na presumption of innocence
 
Hakuna hayupo huru na wala hajiamini.Anataka kumuonyesha Sugu kwamba yeye ni Hakimu lakini hajui siku moja atashindwa kuendelea kuwa Hakimu sababu ya kesi hii ya Sugu.Ni Muda tu unaongea
 
Ndugu wananchi wa Nchi hii nzuri ya Tanzania, napenda kuwaalika watalaam wa sheria -Learned Fellows kutusaidia sisi wanafunzi wa fani ya Sheria kuhusu Doctrine ya presumptions of innocence dhidi ya Sugu na Mwenzake.

Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ya 1977, kila mtu anazaliwa huru na atahesabiwa yupo huru hadi pale ambapo chombo cha kutoa haki - Mahakama itamkuta na hatia baada ya due process ya utoaji haki kufuatwa, sasa hili la Mbunge wa Mbeya Mjini kuwekwa Rumande kwa ulinzi wake----- hoja ambayo sio ya kisheria wala kimantiki inaweza kuharibu image nzuri ya mahakama zetu. Hivi kwa mfano kama RM atafanya kitu kama hiki halafu ije iwe precedent mbaya kwa watoto wetu itakuwaje?

Nawaalika Jf members hasa mawakili na wanasheria wenye mapenzi mema kwa Taifa letu kutujuza Je huyu hakimu anatumia sheria ipi ambayo Mahakama zingine hapa Tanzania haziitumii"?

Kesi ya sugu ina dhamana na wala haionekani kama ina jitosheleza; ni kama watu wamejipanga kwa nia mbaya - Mens reas.

Karibuni kwa kutoa elimu murua juu ya haki ya dhamana na presumption of innocence

practical hiyo, umemaliza coursework
 
Unajua kuwa kabla hujapewa dhamana unapewa kwanza masharti unayotakiwa kuyatimiza? ikiwa ni pamoja na usalama wako na jamii kwa ujumla?
 
Kabla ya kuletwa mahakamani usalama wa mtuhumiwa unakuwa ni liability ya nani? hapo hakuna kifungu cha sheria bali busara au hekima za mahakama
 
Back
Top Bottom