anabeba msalaba wa Lisu! Kuna marekebisho ya sheria yalifanyika kuhusus udhamini. Kuna adhabu unabeba akiruka dhamana! Ila issue ya Lisu si kuruka dhamana deliberately as such. We need to research the position of the law on that!Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December.
Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa?
Nawasilisha.
Anabeba msalaba kana kwamba hukumu atakayopewa lissu ataitumikia yeye au itakuje mkuu? Thanksanabeba msalaba wa Lisu! Kuna marekebisho ya sheria yalifanyika kuhusus udhamini. Kuna adhabu unabeba akiruka dhamana! Ila issue ya Lisu si kuruka dhamana deliberately as such. We need to research the position of the law on that!
Kama hatakuja basi mchakato wa kuondolewa dhamana waweza fuatwa...Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December.
Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa?
Nawasilisha.
Hapana, haiwi hivyo. Ngoja nitafute hasa sheria inasemajeAnabeba msalaba kana kwamba hukumu atakayopewa lissu ataitumikia yeye au itakuje mkuu? Thanks