Kesi ya kamanda Lissu

Kesi ya kamanda Lissu

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,673
Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December.

Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa?

Nawasilisha.
 
anabeba msalaba wa Lisu! Kuna marekebisho ya sheria yalifanyika kuhusus udhamini. Kuna adhabu unabeba akiruka dhamana! Ila issue ya Lisu si kuruka dhamana deliberately as such. We need to research the position of the law on that!
 
Anabeba msalaba kana kwamba hukumu atakayopewa lissu ataitumikia yeye au itakuje mkuu? Thanks
 
Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December.

Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa?

Nawasilisha.
Kama hatakuja basi mchakato wa kuondolewa dhamana waweza fuatwa...
 
Back
Top Bottom