Kesi ya kina Halima Mdee yapigwa kalenda tena!! Sababu ni Mawakili wa serikali kushindwa kufika Mahakamani.

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
Kisingizio cha Mawakili wa Serikali kutokufika mahakamani ni mkutano wa mawakili wa serikali unaofanyika huko Dodoma.

Je, sababu hiyo inajitosheleza? Je, huu sio mkakati wa kupoteza muda kati ya mawakili wa serikali, mahakama, na upande wa kina Mdee?

kesi imeahirishwa kwa wiki moja mpaka tarehe 7 Oktoba.

Chanzo: Mwananchi
 
Halafu utasikia kuwa mzalendo ,ujinga wa kutafuna Kodi zetu makusudi
 
Kisingizio cha Mawakili wa Serikali kutokufika mahakamani ni mkutano wa mawakili wa serikali unaofanyika huko Dodoma.

Je, sababu hiyo inajitosheleza? Je, huu sio mkakati wa kupoteza muda kati ya mawakili wa serikali, mahakama, na upande wa kina Mdee?

kesi imeahirishwa kwa wiki moja mpaka tarehe 7 Oktoba.

Chanzo: Mwananchi
Watu wanasubiri Novemba ahadi za CHADEMA. Acha CCM waendelee kuwapa sababu nzuri CHADEMA kutimiza ahadi yao.
 
Kisingizio cha Mawakili wa Serikali kutokufika mahakamani ni mkutano wa mawakili wa serikali unaofanyika huko Dodoma.

Je, sababu hiyo inajitosheleza? Je, huu sio mkakati wa kupoteza muda kati ya mawakili wa serikali, mahakama, na upande wa kina Mdee?

kesi imeahirishwa kwa wiki moja mpaka tarehe 7 Oktoba.

Chanzo: Mwananchi
Waendelee kuikimbia KESI ila kuna Siku Watafika tu
 
Back
Top Bottom