Mr Arsenal wamisako
Member
- Jan 30, 2016
- 28
- 20
Kweli ufafanuzi unahitajika kutoka kwa wajuzi! Maana kuna date rape ambapo mbakaji huwa amejiandaa kwa spike kinywaji/food ya victim ili atimize lengo, anaweza kutumia condom, ambapo kwa vyovyote manii hayatopatikana when ushahidi is required! Inakuaje hapo? Wajuzi tujuzeni! Na pia kama sikosei kuna kesi ya kuharibiwa mtoto 2yr wa kigoma na watoto wenzie waliomtia jiti hata inabidi afanyiwe surgery kumueka sawa, mama wa mtoto tulikua tukimwona ktk news lkn siku hizi media zimechoka kumuandama naonaNaona manii imetajwa sana hapo juu. Hivi ili kesi ya ubakaji ithibitike ni lazima manii ziwepo?
Kwa maana hiyo kubwa kuliko hapo ni fine tu! Mtoa mada kasema wazazi wa victim wamekataa kuelewana na wazazi wa toto tundu ( which obvious kumlipa fidia) na huko mahakamani ni mawili, ama toto apelekwe shule maalum au ilipwe fine, si bora basi wangemalizana nje ya mahakama na pengine dau lingekua kubwa kuliko hiyo fine ya mahakamani! Ni wazo langu tu kwa mtoa madaHapo kesi IPO. Kama itathibitishwa kua kulikua na penetration. Na wakithibitisha n daktari. Na kwa kesi kama hiyo ambayo wahusika wote n watoto Ina maana itapelekwa kwenye mahakama za watoto (juvenile court), na kama mshtakiwa atakutwa na hatia yaan Huyo mtoto. Mahakama inaishia kumtia Haitian tu (convict) then afisa wa ustaw ataandaa report kuhusiana na mazingira ya tukio ikiwemo na mwenendo wa tabia za mshtakiwa pamoja na mazingira yanayomzunguka, then kwenye report hiyo ataishaur mahakama n adhabu Gan itamfaa mtoto Huyo. Anaweza akashaur apelekwe kwenye shule maalum za watoto watukutu kama ile ya mbeya, ama mzazi alipe faini
nadhani ni 12 mkuu au ulisoma Mzumbe??kisheria hakuna kesi hapo,kwa sababu sheria inasema wazi kbs...kwamba mtoto chini ya umri wa miaka 10 hawezi kuingilia,yaani the law presume that the person of such age is not culpuble of having canal knowledge...hapo ni kuwatia viboko tu hao madogo
nadhani wanazingatia pia na umri! au umesoma TUMAINI?Kimsingi sheria ya ubakaji imeweka wazi kabisa kwamba kitendo cha kuingiza uume tu (penetration) tu bila ridhaa haijalishi kwa urefu gani? Muda gani? Na si lazima mbakaji amalize haja zake. Tayari ni ubakaji.
kimsingi aliyesema kuwa manii ndio kipimo cha Rape hayupo sahii.... angekuwa wakike nisingemlaumu kwani wao hata bila kusoma vyuo vingi wanafaulu. Kunakesi ya ABDALAH dhidi ya JAMUHURI. Dada aliamka akakuta mwanaume amemlalia na ukeni amejaa manii...... mahakama haikuweza kujenga kesi ya ubakaji. Kigezo kikuu ili ubakaji ufanyike ni MPENYO WA UUME WA MTUHUMIWA KATIKA UKE WA MLALAMIKAJI. Kuwe na Manii ama zisiwepo, kawe kampenyo kadoooogo ama mpenyo wa wazi. katika kesi tajwa hapo juu mtuhumiwa alihukumiwa kwa udharirishaji.Kweli ufafanuzi unahitajika kutoka kwa wajuzi! Maana kuna date rape ambapo mbakaji huwa amejiandaa kwa spike kinywaji/food ya victim ili atimize lengo, anaweza kutumia condom, ambapo kwa vyovyote manii hayatopatikana when ushahidi is required! Inakuaje hapo? Wajuzi tujuzeni! Na pia kama sikosei kuna kesi ya kuharibiwa mtoto 2yr wa kigoma na watoto wenzie waliomtia jiti hata inabidi afanyiwe surgery kumueka sawa, mama wa mtoto tulikua tukimwona ktk news lkn siku hizi media zimechoka kumuandama naona